Khaligraph Jones - Dedication (We Are One) текст песни

Текст песни Dedication (We Are One) - Khaligraph Jones



Kenya we united
And we can never be devided
Kenya we are one
Mi nimkenya daima najivunia
I was blessed through the voice
Na ndo sa naitumia
Kuadvocate for unity na pia upendo
Kati yetu sisi sote tuionyeshe na vitendo
Majaribu ndio sa tunapitia
Uchungu inanijaza nikiona kenya inalia
Wanatry kuleta chuki kati yetu wananchi
But izo efforts zao zote si convincing
So either we ni mkristo au muislam
Cha muhimu ni kwamba si sote tufahamu
That maji haiezi kuwa nzito kushinda damu
So now lets pray
Walionusurika(tunawaombea)
Na waliotuacha(tunawaombea)
And wait to see u again coz i know you'r in a better place
And its a dedication to wale waliotuacha
I know that u'r in better place
(Coz)throughout the struggle
(We are one)
Throughout the pain
(We are one)



Авторы: khaligraph jones


Khaligraph Jones - Autograph
Альбом Autograph
дата релиза
19-04-2014




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.