King Kaka feat. Kelechi Africana - Kesi текст песни

Текст песни Kesi - King Kaka , Kelechi Africana



Kesi, kesi, kesi
Kesi, kesi, kesi
Ihaji made it
Tusikuwe kama Otile na Vera kwa Insta
Ati tukikosana natoa mapicha
Even though presense yako inachachisha
Curves tu ka daro ya mao
Class tu upishi wa limau
Malaika wewe mabawa hadi miguu
Tell me something
How does it feel to be you?
We sio
Usishangae vile of late mi nina bunda
Nika double check ka change ya kunda
Usifiche kidole nishaona pete
Its unfortunate mami you are taken
Wa mtu sumu mke(Oooh nah nah nah)
Basi wazo bora itoke(Oooh nah nah nah)
Naona ka sio fair(Oooh nah nah nah)
Love yangu ikopwe
Naogopa kesi(Kesi kesi), kesi ke
Mi si pendi kesi(Kesi kesi), kesi ke
Naogopa kesi(Kesi kesi), kesi ke
Mi si pendi kesi(Kesi kesi), kesi ke
And I see you online na ye mko happy
Kwa hii hesabu yote niko wapi?
Ata ka nina feelings bado
Ungenishow tu from the word go
Hizo makona tuziwachie Dago
Basi shukisha mzigo ndio roho iwe nyepesi
Trust me hata mi staki tukesi
So basi mami usinipigie
Hata ikiwasha aje usinipigie
Narudia usinipigie
Ona unaficha kidole na nishaona pete
Its unfortunate mami you are taken
Wa mtu sumu mke(Oooh nah nah nah)
Basi wazo bora itoke(Oooh nah nah nah)
Naona ka sio fair(Oooh nah nah nah)
Love yangu ikopwe
Naogopa kesi(Kesi kesi), kesi ke
Mi si pendi kesi(Kesi kesi), kesi ke
Naogopa kesi(Kesi kesi), kesi ke
Mi si pendi kesi(Kesi kesi), kesi ke
Oooh kesi!
Yalo ndwele si pite
Umenipanganisha leo we ni wa mwenzangu
Acha storo wee
Huenda am the best love kwenye bed
Ila kushare mi siwezi
Acha storo wee... Kesi sitaki
Kesi (Kesi kesi), kesi ke
Mi si pendi kesi(Kesi kesi), kesi ke
Naogopa kesi(Kesi kesi), kesi ke
Mi si pendi kesi(Kesi kesi), kesi ke
Naogopa kesi
Kubwa!



Авторы: Kennedy Otieno Ombima


King Kaka feat. Kelechi Africana - Kesi
Альбом Kesi
дата релиза
13-01-2020

1 Kesi




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.