King Kaka - Wajinga Nyinyi текст песни

Текст песни Wajinga Nyinyi - King Kaka



Dear Lord
Today I come before you for 2 things
Grateful for keeping me alive even though you know my day
Na kutupea wakenya Amnesia Asante
Sisi ni vipofu na viziwi na tunajua translator wetu alishadedi
2022 already si mnajua nani ni Prezzi
Si mnajua nyinyi voters ndio washenzi
Kwani hamjui Mdomo yangu ilibatizwa na wakongwe
So nashanga Mbona akili zenu time ya kura zinajaa shonde
Na hiyo wiki ndio ntajua jirani yangu uwa mjaka
Kamah Kumbe uwa msapere, Ata Salamu hawata pata
Piga tu kura na utalala bila kula a night of tears
Nani Skiza na macho na Ona na your ears
Swali
Fununu ni Ati system ya education ni ya Uduu
Is it true that's why umepeleka mtoi wako akasome majuu
While graduates wanashika placards kwa traffic
Mtu wa actuarial anataka kujimada it's so tragic
Swali
Ati Waiguru Ako kwa office Na story ya NYS tulishasahau
Biro moja aliBuy 8thao Biro tunanunuanga mbao
Either sisi ndio wajinga Ama Ako na marking scheme ya Accau
Time will tell, Vijana wanaBet to kifo
Wanadai Betting imewapea Job kuwaliko
City stadium imekuwa renovation for 3 years budget ziwatoshe
While Sonko anadance tu kwa ofe
Swali
How do you sleep at night knowing mikono yako imei,
Not close to purity
Wordsmith King Kaka arrested for fighting Impunity
Ata wakijam na hatupati bread hawatusomi na Sikwani
Promises hamuweki Hii ni relationship gani is it true
Uko na Account offshore zimejaa money Na account
Ya daughter ya waititu iko na depo ya 100 mita ukipekwa
Kotini ni escort ya polisi kama sita
Ladies and gentlemen official speech by Mbwa Mwitu
Wacha avae ngozi ya Kondo kwanza ndio tumsifu
Si basi wakam kwa church watoe pesa tulitoa kama tax
Na pastor Anakiss Ass, ampatie hadi asome ka Verse
Na Sisi tuko busy wajinga nyinyi tunaClap
Wakinisnipe tonite si manajua ni kwanini
Ntakufia watu mi siogopi mimi
Wasijifanye Hapo wataLast Ata Chuma u Rust
Na hizo ganji hamtazikwa nazo news flash Flesh urudi kwa dust
Nchi inaongozwa na thieves
Na ukiogopa jua hauwezi kuwa Chief
Iba hizo mamita mko scott free Niibe kuku nta Lala ndani
Atleats pastor Nganga amewashinda anadanganya adharani
Hapo parliament Kwani mnashida gani
Simtuibie Kiplani
Mmetumiwa Shetani gani Na Job ziko wapi
Swali ni Ukweli Lazima uRetire ndio upate job
So inamaanisha Lazima kwanza nipatie job ndio nipate job job
The youth ni Moody at 90 and Gikonyo at 80
Manifesto mlisema Job ni Plenty
KQ walisamehewa deni ya 24bn, sugar mill farms 40 Bili
Na ujinga yenu mnaweka students hawajalipa kwa gazeti helB
Wajinga nyinyi
Hizo mlango zenu vile mmebeef security hamuwezi nikubalia hodi
Remember me my mom anaitwa wanjiku na my father is a nobody
Naskia Mafuta imepanda tena
Inatoka Turkana ndio urudi tena
Hesabu ya 1 plus 1 inawachenga
Mtaenda retreat kuidiscuss tena
Na mjiongeze pesa ya tax payer tena
Laptop ni multi billion project na walimu odhago hawana Lights
Wanacharge kwa generator shopping center it's not right
Wasipandishe tax hizo ndio dreams mi uwa nazo Nikituna
What are we really doing As a country sazile tunachuja miguna
Petroli imepanda so inamaanisha polisi wataOperate kama customer care
Busa na chwara zinamaliza ma Yout enyewe stivo was right
Mihadarati haiwezi .Wachane na polisi wafanye raid tena
Ama ni vile OCS hajapewa yake na kila mwizi oh I mean
Ya kila mwezi,
Na polisi wako in Cahoots, hao ndio uSupply wagondi na
Guns za ku shoot
Swali
Kazi ni formalities na ukiApply ina Bounce
Ni ukweli KPLC wanatuwekea Bill haziko na zinaenda kwa
Personal accounts
Welcome to our country where polician wana ujinga za kila aina
Economy imekuwa hard Hakuna kitu ya kuteremsha chai na
Karibu to the Kenya Republic of China
I support Teachers Doctors wakistrike
Na the president is saying Ati kama hawarudi watachujwa
Hakuna Siri kwa nyumba, Naskia jirani bibi anakula you know
What I mean?
Police anaishi kwa keja zimeseperaye na curtains ni 2019
Na hizo damu zitawafuata kwa coffin
Punda idedi lakini mzigo ifike
KCse hazijafika Sababu ya floods so instead Wacha niulize maswali
Harambee stars wanalala kwa floor airport flani while mnahire
Private jets
Swali
Disaster mnakimbia kusema Vile mtacreate enquiry
Is it true women rep ndio wanadishi pesa ya pads
Meant for girls
Maize scandal
Wako na matusi kwa national tv such role models
Youth unemployment
Politicians ni addicts wa pesa
KRa wanatuibia ndio wapatie wezi pesa
Deadline ya tax return ni Tuesday
Jengeni tu, Sips tea Iko na Mercury kwa shuge
Swali
Is it true war iko funded as tunaloose KDF soldiers daily So unalia
Ndio maana tumeshindwa kutoa Troops Somalia
Mnakula pesa ya health Ndio maana Mkenya hawezi afford
The moment you fall Sick tunaskia unapata treatment Abroad
Na voter akidedi na Cancer kera
Perfect opportunity atoe coffin na transport on top auze sera
Hapo ndio mras uwasha kiLucy
In the name of treatment kuna Power ni Kirusi
Moha umefunga jicho, jicho pevu ni kipofu
Huduma number Kumbe ilikuwa tu ka Scam flani
Na Maraga anataka magari
Rais unawaona Hapo ni wanajeshi waNavy wakionyesha umaarufu
Wao wa vita ya kulinda nchi wakiwa kwa maji
Wajinga nyinyi while Mariam na daughter wake hajapatikana wiki
Mbili wAko kwa maji
Sema Mcsk Kutuimbia
Kwa traffic Uko on the wrong side Ndio Urush kutuibia
5 years ndio zinaisha Naskia umeanza kurudi kwa ground Wacha
Kupretend And all Kenyans know kwa ground vitu ni
Swali sijui ka unakumbuka mimi ndio nilikuweka Hapo
Can't see you nikaa tunacheza tapo
Swali
Ama na Assume ni vile Ulibuy simu Uko na line mpya
Na haushikangi Numbers haujui
I stopped being your friend unanitreat Namna ya Adui
Swali
Stadium ziko wapi? Kazi ziko wapi?
Ile manifesto iliniwow iko wapi
Na you handshake kwani ni ile Sisi ufinya Kenyatta Kwa mkono ya karao
Swali
Ata kama tuko na Kenyatta ndio maana strongly feel hatujapata Uhuru



Авторы: Kennedy Otieno Ombima


King Kaka - Wajinga Nyinyi - Single
Альбом Wajinga Nyinyi - Single
дата релиза
13-12-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.