KrgTheDon - Nyandus (feat. Sailors & DJ Lyta) текст песни

Текст песни Nyandus (feat. Sailors & DJ Lyta) - KrgTheDon



Uuuu uuu uuuu uuu
Hii ni ya Sailors,
KRG na DJ Lyta (Jessy on this) Sailors kuna vitu hazijai tuwacha
God's love na mafans madem na mashada
KRG inna di area man kutawaka
Dj Lyta wakoroge kisteam ya jaba
Niwaitie mtu next mwenye atawabamba
KRG wanamuita mutongoria
Ka ni dem hajawai ye kung'ang'ania
Kiog'i wao anawatengeneza angalia
Thombos thombos,
Ana ana Anawanyandusa(Nyandus nyandus) Nyandusa(Nyanduuuuus)
Anawanyandusa(Nyandus nyandus) Nyandusa(Nyanduuuuus)
Eeh nibebe, mimi wako beiby
Ni friday tena sema payday
Ki badman kemba wako lady
Ma dance moves, tunaziita odi
Ting ah ling ah ling, school bella ring
Di galdem demma fight for mi thing--
We are give theme the ting Di badgal demma whine pon di scene
Buyaka buyaka, beiby wangu mnoma
Buyaka buyaka, kama suicide bomber
Buyaka buyaka, zimeshika vinoma
Buyaka buyaka, badman leta lighter
Niwaitie mtu next mwenye atawabamba
Shalkido wanamuita mutongoria
Ka ni dem hajawai ye kung'ang'ania
Kiog'i wao anawatengeneza angalia
Thombos thombos,
Ana ana Anawanyandusa(Nyandus nyandus) Nyandusa(Nyanduuuuus)
Anawanyandusa(Nyandus nyandus) Nyandusa(Nyanduuuuus)
Eeh wathegere(iii), wa wathegere(iii)
Wathegere thegere thegere Wathegere,
Miracle we ni thegere(oooh)
Tua ngotho theri theri Tutha thutha
Pongi ya Gacheri Kama kwa perimander chum chum
Kaa na mamako ka haudai chum chum
Nikuseti ninyandue hadi thukum
We ina inati, woiyee Hioria nati, woiyee
We ina inati, woiyee Nati, nati
Sailors kuna vitu hazijai tuwacha
God's love na mafans madem na mashada
KRG inna di area man kutawaka
Dj Lyta wakoroge kisteam ya jaba
Niwaitie mtu next mwenye atawabamba
Masilver wanamuita mutongoria
Ka ni dem hajawai ye kung'ang'ania
Kiog'i wao anawatengeneza angalia
Thombos thombos,
Ana ana Anawanyandusa(Nyandus nyandus) Nyandusa(Nyanduuuuus)
Anawanyandusa(Nyandus nyandus) Nyandusa(Nyanduuuuus)
Nikutulizanga kejeni na mroro jongo
Nakaguza pongi kanapandishaga joto
Kakipandisha uhuni nakanyuka mboko
Tunarumia turi kajiuliza kwani poto
Unanyandusa kakitu kanatoka joto
Na Ndenderu wao huniita Deno master
Nikateke nikasese kapanguze duster
Niwaitie mtu next mwenye atawabamba
Lexxy Yung wanamuita mutongoria
Ka ni dem hajawai ye kung'ang'ania
Kiog'i wao anawatengeneza angalia
Thombos thombos,
Ana ana Anawanyandusa(Nyandus nyandus) Nyandusa(Nyanduuuuus)
Anawanyandusa(Nyandus nyandus) Nyandusa(Nyanduuuuus)
Niwatesi hii hood tunatesa
Tukidunda dunda twawasesa
Kila chuom imegrow na marasa
Pasapasa ndio zao si masasa
Haga yake imekwama ananing'ora
Chali yake anatisha na anang'oa
Ako uswaro na karungu kameng'oa
Ni kapyenga kanatoka akikohoa
Na akitry kurausha kanapoa



Авторы: Stephen Karuga Kimani


KrgTheDon - Nyandus
Альбом Nyandus
дата релиза
20-10-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.