Loui - Sawa текст песни

Текст песни Sawa - Loui

(Instrumental)
Eeee
Kwani mapenzi niyawawili, usijeniacha solemba
Tena uzitunze hizo zangu Siri, usijeniacha n′kateleza
Baby, Tia pilipili nyanya kachumbali, tuanze lumangia
Mwenzio akili hoi n'shasafiri inasonga njia
Manuari ishazama (Aaawe)
Kwandani Swalama (Nawee)
Navile tunagandana (Aawee)
Tunafanana (Nawee)
Napenda ukin′susia Hooh aah Sana
Shimoni naingia Ooh aah tamu Sana
Hata nisemwe,ning'ong'we hadharani na watu (Sawa sawa sawa)
Kwako tulituli ndo n′shatulia (sawa sawa sawa)
N′takung'ang′ania,n'takushikilia (sawa sawa sawa)
Na ukitaka Mali,Nitakupatia (Sawa sawa sawa)
(Instrumental)
Ona akili yangu Mwenzako Haisomi,
Subakheri N′shakweka Moyoni
Unanipatiaga,Viudambu-udambu
Unaniwezeaga
Naukijifukizaga Aah Alkhabi
Unanimalizaga!
Baby, Tia pilipili nyanya kachumbali, tuanze lumangia
Mwenzio akili hoi n'shasafiri inasonga njia
Manuari ishazama (Aaawe)
Kwandani Swalama (Nawee)
Navile tunagandana (Aawee)
Tunafanana (Nawee)
Napenda ukin′susia Hooh aah Sana
Shimoni naingia Ooh aah tamu Sana
Hata nisemwe,ning'ong'we hadharani na watu (Sawa sawa sawa)
Kwako tulituli ndo n′shatulia (sawa sawa sawa)
N′takung'ang′ania,n'takushikilia (sawa sawa sawa)
Na ukitaka Mali,Nitakupatia (Sawa sawa sawa)
(Instrumental)

Авторы: Louis Vincent Mbullu

Loui - Lights on Me
Альбом Lights on Me
дата релиза
19-05-2021

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.