Masauti feat. Khaligraph Jones - Kiboko Remix текст песни

Текст песни Kiboko Remix - Khaligraph Jones , Masauti



Masauti Kenyan boy
Khaligraph Jones its going down
Yaaani toto kiboko
Yaaani toto kiboko
Yaaani toto kiboko
Eeey napenda venye unavyodunda
Ukitembea unafanya nikutake take
Kweli Mola kakuumba unateketea
Vile uko lit lazima nikukate
Sijui ka uko na copy(eeh)
Ya mimi ni nani
Mitaani waniita OG
Unataka vipi Atoti
Iko vipi
Kwani we ni mgeni hapa Nairobi
Na jinsi anavyo ligidi ligidi
Kana kwamba anaifanya ka digiri ana digiri
Ukichikidi chikidi ana digidi digidi
Mashore wengine sai ni TBT TBT (sareee)
Mtoto kiboko
Eeh ahh kiboko
Huyu mtoto
Kiboko kiboko yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani Kiboko
Nitadunga suti na tai
Nimfwate nimnong'oneze
Nimwambie ye ndo nadai
Ananipa mi mawenge (hello Shawty)
Toto la kinai roho body
Uswazi kote ye ndo ametawala
Sioni noma yaani mbona soul body
Akinipa sikatai mimi nakwala
Figure kama mjaka
Yaani balaa nyuma vigirigi
Kwa shanga kiunoni nasimama
Wima mpaka alfajiri
Figure kama mjaka
Yaani balaa nyuma vigirigi
Kwa shanga kiunoni nasimama
Wima mpaka alfajiri
Mtoto high class
Nywele singa singa kimahaga (ni mkare)
Yaani working class bila kusita nang'oa nanga
Yaani mtoto high class
Nywele singa singa kimahaga (ni mkare)
Yaani working class bila kusita nang'oa nanga (si usaree)
Mtoto kiboko
Eeh ahh kiboko
Huu mtoto kiboko kiboko yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Check it ee ju already tusha nokiana
Lenga huyo boy ata moti hana
We ni kiboko tunaeza sosiana
So go ahead and bust it down thotiana
Ey we ndo kiboko
Kuja international toka local
Am the hottest rapper right now kwa soko
And rich too bad boy si msoto
Haha oooh lord you entice me
And me backing down so unlikely
No sidechiq I'll make you my wifey
Masauti vipi they can't do it like we
Unavyo Katika Shiro
Nyuma ulivyoshona Doro
Nikikupata kwa godoro
(Hhmm weeh kibokooo)
Unavyo Katika Shiro
Nyuma ulivyoshona Doro
Nikikupata kwa godoro
(Hhmm mama kibokooo)
Ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani Kiboko



Авторы: Ali Mohamed, Khaligraph Jones


Masauti feat. Khaligraph Jones - Masauti
Альбом Masauti
дата релиза
09-04-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.