Mwana FA - Naamini текст песни

Текст песни Naamini - Mwana FA



Naamini eeh ababa
Mwanzo nilipinga na kulataa
Sina budi kukubaliana na ukweli
Huu niuonao japo kua niliposikia
Kwa watu nilipuuza na kuona ni mambo
Ya kuzushwa yasiyokua na ukweli
Ndani yake lakini kadiri kuchwao naamini




Mwana FA - Naamini
Альбом Naamini
дата релиза
17-02-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.