Ommy Dimpoz feat. Mwana FA - Hello текст песни

Текст песни Hello - Ommy Dimpoz , Mwana FA



Nalikumbuka tabasamu
Ucheshi na upole wake
Siamini kama yalikuwa ulaghai
Na yale mambo matamu
Nikazama kwenye penzi lake
Kweli bado nampenda wala sikatai
She was my heart my pain
Wrist on my vain oh no no no!
Nilikolea eeh sikuelezei oh nooo!
Namkumbuka ila imebaki historia
Moyo wng bado upo kwake
Labda yatajirudia
Helloo! Hello my love unanisikiaaa
Namba yangu ile ile Nipigiee
Helloo! Hello my love eeh sikiaa
Helloo! sema nikufute wapi niambie
Helloo! Hello ma love.unanisikiaa
Helloo! namba yangu ile ile nipigie
Helloo! Hello ma love nisikiee
Hello! sema nikufate wapi niambie
Pengine ni akili za ujana
Penzi letu ukalipiga dana dana
Sijui kisa nini mpaka uninunie ooh!
Hofu yangu usipate bwana
Ukaniacha nywele nawe ndo kitana nasubiri simu yakoo
Nipigie aaah
Helloo! Hello ma love Helloo
Helloo! can you call me ma love
My love helloo! namba ile ile
Ma love hello! Helloo!
Call me ma love ma love Helloo!
Aaaaaaah
Aaaaaaah
Aaaaaaah...
Lyrics By Yuri aka Ramso



Авторы: Ommy Dimpoz


Ommy Dimpoz feat. Mwana FA - Hello
Альбом Hello
дата релиза
26-08-2019

1 Hello




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.