Otile Brown - Vibaya текст песни

Текст песни Vibaya - Otile Brown



Kinachohitaji moyo
Hata akili haiwezi baini
Cha mtima cha moyo
Hata kama kibaya
Kifaacho mtu chake
Kwako sisikii wala siambiliki
Nakupenda kipimo sina
Kwako mi hoi chakari
Nalewa Henessy
Moyo wangu unao
Kwako ninatua kafanya makazi, yeah yeah ooh
Napenda mapaka mjini
Wakanirubuni
Nusura wanitoe roho
Oooh upendo si kutamani,yeah yeah ooh
Ila kaja toto la moto
Kanipoza kama uji wa mtoto
Haters tunawanyoosha vinyoosho
Ukaja toto la moto (Moto)
Kanipoza kama uji wa mtoto (Mtoto)
Insta tunawanyoosha vinyoosho
Nakupenda vibaya (Baya baaya)
Yaani vizuri vibaya (Baya baaya)
Nakupenda vibaya (Baya baaya)
Yaani vizuri vibaya (Baya baaya)
Nampenda mpenda (Nani?)
Msichana mmoja (Nani?)
Na jina lake (Nani?)
Nampenda mpenda (Nani?)
Msichana mmoja (Nani?)
Na jina lake (Nani?)
(Vicky pon dis)
Toto ulivyosimama umenikaa
Ooh nakuwaza kila saa
Unavyobana unaachia, bana unaachia
Kisha slow it down ghafla unatia gear (toto mi hoi)
Unavyobana unaachia, bana unaachia
Kisha slow it down ghafla unatia gear (toto mi hoi)
Toto la moto
Kanipoza kama uji wa mtoto
Haters tunawanyoosha vinyoosho
Ukaja toto la moto (Moto)
Kanipoza kama uji wa mtoto (Mtoto)
Insta tunawanyoosha vinyoosho
Nakupenda vibaya (Baya baaya)
Yaani vizuri vibaya (Baya baaya)
Nakupenda vibaya (Baya baaya)
Yaani vizuri vibaya (Baya baaya)
Nampenda mpenda (Nani?)
Msichana mmoja (Nani?)
Na jina lake (Nani?)
Nampenda mpenda (Nani?)
Msichana mmoja (Nani?)
Na jina lake (Nani?)



Авторы: Jacob Obunga


Otile Brown - Vibaya
Альбом Vibaya
дата релиза
13-04-2020

1 Vibaya




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.