Sanaipei Tande - Mfalme Wa Mapenzi текст песни

Текст песни Mfalme Wa Mapenzi - Sanaipei Tande



Uuu ahhha baby...
Malaika zangu za inuka kila anapo niguza
Pumzi nazo mi zaniishia kila anapo nidadisia
Vile ata nipenda
Vile ata niroga
Vile ata niliza ×2
Vile ata...
Anapo nibusu uuu.
Anapo nilaza chini iii...
Na anapo nipapasa aaa...
Ni dhahiri shahiri
Nimepata Mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiaye mbinu Zake
Nimempata Mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye.
A Ni faye...
×2
Yu wafanya Kwa utaratibu
Yoja wamaliza nguvu
Sina budi ila kumruhusu
Anipe sumu.
Anapo nibusu uuu.
Anapo nilaza chini iii...
Na anapo nipapasa aaa...
Ni dhahiri shahiri
Nimepata Mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiaye mbinu Zake
Nimempata Mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye A Ni faye.×2
Ni wie radhi
Sio ati ni mara ya kwanza
Kufanya mapenzi
Lakini bila shaka
Hamna mwingine kama yeye
Nimepata Mfalme wa mapenzi Hamna mwingine akaribiaye mbinu Zake
Nimempata Mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye A Ni faye.



Авторы: Natasha Sanaipei Tande


Sanaipei Tande - Sanaa by Sana
Альбом Sanaa by Sana
дата релиза
27-02-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.