Zuchu - Cheche текст песни

Текст песни Cheche - Zuchu



Cheche ladies and gentlemen
Let's go
Hii iiih
Ariri ariro rarari rarari
Yaka iyaka iyaka iiih
Tiyari yari yari rarari
Mi amor te amor
Le te quero, te quero
Yaliyomo yamo
Hujazoa penzi kwa beru
Mi amor te amor
Le te quero, te quero
Yaliyomo yamo
Hujazoa penzi kwa beru
Aaaih mwenzako migulo chengele
Kwa ndani naugulia kwa nje bwerere
Sema upendacho utakula njegele
Kinyama kurumangia nkuchumie tembele
Na bila huruma unanichuuza
Mambo unayabaruza
Mimtoto unanikuza
We haaya!!
Na bila huruma unanichuuza
Mambo unayabaruza
Mimtoto unanikuza
Weeh!
Unanichezesha kwaito
Wakora waito
You de give me banana
You love is banana
Unanichezesha kwaito
Wakora waito
My baby twa-chezeshana
Che-che cheche rumba
Che-che cheche rumba
Che-che cheche rumba
Che che che rumba
Aaaih zinatoka cheche
Tukigusana gusana
Che che che
Na kakara zako kikiri
Kikiri kakara
Unanimalizaga
Na kakara zako kikiri
Kikiri kakara rara aaah!
Unanimalizaga
Unanichezesha kwaito
Wakora waito
You de give me banana
You love is banana
Unanichezesha kwaito
Wakora waito
My baby twa-cheze rumba



Авторы: Zuhura Othman Soud


Zuchu - Zuchu Unplugged EP
Альбом Zuchu Unplugged EP
дата релиза
05-03-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.