Zuchu - Shangilia текст песни

Текст песни Shangilia - Zuchu



Ayolizer
Kibe, Kibe (Kibee)
Kibe ni mshindi mwingine (Kibee)
Kibe kutoka CCM chama
Sio chama kingine (Kibee)
Kibee Kibee (Hee! Kibee)
Ameshinda mwingine
Kutoka chama kubwa chama
Sio chama kingine
Oooh! Wazanzibar (Shangilia shangilia)
Hussein Mwinyi (Rais Kashachangulia)
Kwa hii hali yetu
Aendeleze ilani ya chama
Zanzibar yetu
Ye kaja kuinyanyua
Hussein Mwinyi
Mikono salama
Ye ataendeleza mazuri yake sheni
Utawala bora
Utawala bora uchumi na amani
Kwa bashasha
Natamka Hussein Mwinyi Rais wangu
Sijalazimishwa, sijashurutishwa
Nimemchagua kwa kura yangu
Oooh! Wazanzibar
(Shangilia shangilia)
Hussein Mwinyi
(Rais Kashachangulia)
Mchapa kazi mzalendo
Mlinzi wa muungano wetu
Wanamapinduzi yetu
Hongera rais wetu
Rais nani? Rais Nani?
Ni hussein Mwinyi
Hatoki Ikulu
Mpaka miaka kumi
Eeeh! Zanzinbar daima mbele
Kwa bashasha (Kwa furaha)
Natamka (Natamka mimi)
Hussein Mwinyi rais wangu
Eeh! Hongera Rais wangu
Sijalazimishwa, sijashurutishwa
Nimemchagua kwa kura yangu
Oooh! Wazanzibar
(Shangilia shangilia)
Hussein Mwinyi
(Rais Kashachangulia)



Авторы: Zuhura Soud


Zuchu - Shangilia - Single
Альбом Shangilia - Single
дата релиза
02-11-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.