Songtexte
Asubuhi
kumekucha
Ali
naamka
Nakwenda
shamba
kutafuta
matunda
Good
morning
sweety
ye
nakuaga
bibie
Nakwenda
shamba
chochote
tutapata
Tutakapo
kosa
leo
mamii
tuvumilie
Kwani
Mungu
kapanda
yote
ni
matokeo
Ona
unavumilia
namshukuru
Mola
Kote
nimezunguka
wewe
ni
mke
bora
Ona
unavumilia
namshukuru
Mola
Kote
nimezunguka
wewe
ni
mke
bora
We
hivyo
vyote
maa
(ulivyo)
Nakupendaga
(ulivyo)
Dunia
ni
king'amo
dunia
mashindano
We
hivyo
vyote
maa
(ulivyo)
Nakupendaga
(ulivyo)
Dunia
ni
king'amo
dunia
mashindano
Mumeo
narejea
Hali
yangu
si
waiona
Wakati
nakwenda
Ajali
nilipata
Ile
njia
panda
nilipita
Alinivamia
simba
Na
watu
wakaja
pale
kuniokoa
Walinipeleka
hospitali
ya
wilaya
Matibabu
nilipata
ah
Na
sasa
nimetoka
Hali
yako
mjamzito
Usijepatwa
mshituko
Dunia
ni
king'amo
Dunia
mashindano
Hali
yako
mjamzito
Usijepatwa
mshituko
Dunia
ni
king'amo
Dunia
mashindano
We
hivyo
vyote
maa
(ulivyo)
Nakupendaga
(ulivyo)
Dunia
ni
king'amo
dunia
mashindano
Hivyo
vyote
maa
(ulivyo)
Nakupendaga
(ulivyo)
Dunia
ni
king'amo
dunia
mashindano
1 Karim (Remix)
2 Si Mzima (feat. Abbyskills & Ude ude)
3 Far Away (feat. Chidi Beenz)
4 Mali Yangu
5 Shamba
6 Ndio Yule (feat. Queen Darleen & Chidi Beenz)
7 Wanitesa
8 Hadithi (feat. Mr Mim)
9 Hufai (feat. Dully Sykes)
10 Why
11 Karim
12 Miss Pain Apple
13 Najua ni Kipi (feat. Abdukiba)
14 Si Mzima (feat. Ude ude) [Remix]
15 Prince Waweru (feat. Mwasiti)
16 Shababi (feat. Marlaw & Geez Mabovu)
17 Usiniseme
Attention! Feel free to leave feedback.