Songtexte Ubuyu - ALIKIBA
Yeah!
Aah-aah,
aah-aah
Mh-mh
Ubuyu
umenikaba,
napaliwa
Ah,
aya
ma,
ah
Yule
mama,
mwenye
nyumba
mama
Yule
mama,
wa
ma-mama
(O.Righty)
Yule
mama
anapenda
sana
vitoto
Yule
mama
anawaharibu
watoto
Yule
mama
anapenda
sana
vitoto
Yule
mama
wa
ma-mama
Anafumwa
kila
siku
hadharani
Anabanana
nao
vichochoroni
Ana
nyumba
ila
kwake
hakai
Kila
siku
anao
vichochoroni
Wanampeleka
mpaka
chooni,
eh
Wanamepeleka
mpaka
sokoni,
eh
Wanampeleka
mpaka
chooni,
eh
Huyo,
huyo,
huyo,
huyo,
huyo
Aah-aah,
na
yule
mama
Ibraah,
ah-ah
Wa
pale
chini
mpakani,
eh
Ndani
wana
watoto
wawili
Si
wa
jamaa,
ni
wa
jirani,
eh
Wanaongozana
mpaka
chooni,
eh
Anampeleka
mpaka
sokoni,
eh
Na
si
kama
si
hatuoni,
eh
Wanapokezana
maskani
Huyo,
huyo,
huyo
Huyo,
huyo,
huyo,
huyo,
huyo
Huyo,
huyo,
huyo
Huyo,
huyo,
huyo,
huyo,
huyo
Tumeto-tongazana
jana
tu
Eti
leo
birthday
yake
Simu
za
usiku
Kununuliana
LUKU
Na
hatumi
mita
namba
yake
Si
aseme
kama
yuko
sokoni,
eh
Maana
vimacho,
macho,
macho
mfukoni
Si
aseme
yuko
sokoni,
eh
Tumpelekee
moto
shimoni
Huyo,
huyo,
huyo
Huyo,
huyo,
huyo,
huyo,
huyo
Huyo,
huyo,
huyo
Huyo,
huyo,
huyo,
huyo,
huyo
Ubuyu
umenikaba,
ah-ah
Leo
naumwaga
hadharani,
eh
Watu
wana
tabia
mbaya
Wanamzidi
hata
shetani,
eh
Watu
wana
tabia
mbaya
Wanamzidi
hata
shetani,
eh
Mh,
wote
motoni,
eh
Sijamuona
wa
peponi,
eh
Aah,
wote
motoni,
eh
Sijamuona
wa
peponi,
eh
Yup!
(Si
aseme
yuko
sokoni,
eh)
The
Mix
Killer
Attention! Feel free to leave feedback.