Songtexte Yule - Remix - Marioo , AY Masta
Huu
pata
apo,
ayé
yé,
yé
Kutoka
kwa
A.y
Eti
nani
ana
namba
yake
hapa
kuna
teni
limezagaazagaa
Nani
anapajua
kwake
oya
hapa
kuna
teni
linazagaazagaa
Umbo
lake
pale
yanga
anavaa
aucho
(namba
nane)
Kifuani
kila
saa
anatembea
na
masaa
(saa
sita)
Moyoni
mwangu
huyu
mama,
nimepa
diarra
(namba
moja)
Kiukweli
nimempenda,
ila
ndo
sijui
nifanyeje
patamu
hapo
Kwenye
mashavu
yake
ana
tushimo
oh,
huku
na
huku
Kajaliwa
sura
kajaliwa
na
shape
mashaallah
huku
na
huku
Nimechoka
kumuota,
usiku
naweweseka
ah
Someboy
mwambie
mi
mwenzake
nampenda
wallahi
(yule)
Nampenda
sana
jinsi
alivyo
(yule)
Nampenda
sana
jinsi
alivyo
simple
(yule)
Nampenda
jinsi
alivyo
Nitafanyaje
patamu
hapo
(yule)
Nampenda
sana
jinsi
alivyo
(yule)
Nampenda
sana
jinsi
alivyo
simple
(yule)
Nampenda
jinsi
alivyo
Nitafanyaje
patamu
hapo
(yule)
Mmmh
nitafanyaje
(patamu
hapo)
Wahuni
nitafanyaje
(patamu
hapo)
Oh
nitafanyaje
(patamu
hapo)
Ouh
no,
no,
no
(patamu
hapo)
Anavyo
tabasamu
ndo
anavyonipa
hamu
Sura
na
umbo
lake
basi
lanipa
wazimu
Nataka
kumfuata
(nahisi
atakataa)
Naogopa
akinimwaga
stori
itazagaa
Umbo
lake
pale
Yanga
anavaa
aucho
(namba
nane)
Kifuani
kila
saa
anatembea
na
masaa
(saa
sita)
Moyoni
mwangu
huyu
mama
nimepa
diarra
(ah,
ah)
Kiukweli
nimempenda,
ila
ndo
sijui
nifanyeje
(patamu
hapo)
Yule
(anayesumbua
akili
yangu)
Yule
(anayeumiza
moyo
wangu)
Najua
faamu,
najua
faamu
Moyoni
mi
ntakufa
na
mawazo
Lakini
kumwambia
ndo
siwezi
mimi
Nampenda
sana
jinsi
alivyo
(yule)
Nampenda
sana
jinsi
alivyo
simple
(yule)
Nampenda
jinsi
alivyo
Nitafanyaje
patamu
hapo
(yule)
Nampenda
sana
jinsi
alivyo
(yule)
Nampenda
sana
jinsi
alivyo
simple
(yule)
Nampenda
jinsi
alivyo
Nitafanyaje
(patamu
hapo)
Mmmh
nitafanyaje
(patamu
hapo)
Wahuni
nitafanyaje
(patamu
hapo)
Oh
nitafanyaje
(patamu
hapo)
Ouh
no,
no,
no
(patamu
hapo)

Attention! Feel free to leave feedback.