Songtexte Pusha - Aslay
Pusha
washa
Mi
nina
stress
zimejaa
kwenye
kichwa
Sogeza
kiti
kaa
Nikueleze
machache
yaliyonikuta
Kuna
kijanaa
ana
nisumbua
sanaaaa
Mke
wangu
raha
hana
Nyumbani
amani
hakuna
Hi
hiiii
Asidhani
mimi
ni
mkimya
sana
Mwenzie
naumia
roho
yangu
Nisije
baadae
mi
kupata
lawama
Nikaharibu
CV
yangu
Mwambieni
ama
zake
ama
zangu
Mi
ntakufa
naye
Nasema
mwambie
Ama
zake
ama
zangu
Mi
nitakufa
naye
Mkimuona
mwambieni
Ama
zake
ama
zangu
Nitakufa
naye
Eeeh
mwambieni
Ama
zake
ama
zangu
Nitakufa
naye
Anapitaga
kibarazani
Nguo
kashusha
makalioni
Anajifanya
yeye
muhuni
Wenzie
tulianza
tisini
Tutabadilishana
majengo
ya
serikali
Aaahh
ahhh
Mi
niende
jela,
yeye
aende
mochwali
Ahhhh
ahhah
Hi
hiii
Asidhani
mimi
ni
mkimya
sana
Mwenzie
naumia
roho
yangu
Nisije
baadae
mi
kupata
lawama
Nikaharibu
CV
yangu
Mwambieni
Ama
zake
ama
zangu
Mimi
nitakufa
naye
Nasema
mwambieni
Ama
zake
ama
zangu
Mimi
nitakufa
naye
Mkimwona
mwambieni
Ama
zake
ama
zangu
Mimi
nitakufa
naye
Ehh
mwambieni
Ama
zake
ama
zangu
Mimi
nitakufa
naye
Aiyo,
aiyo,
aiyoyo
Huwaga
sipendagi
dharau
Aiyo,
aiyo,
aiyoyo
Mwambie
anajisahau
Aiyo,
aiyo,
aiyoyo
Tutachukiana
mamaa
Aiyo,
aiyo,
aiyoyo
Tutapeana
lawana
sana
ooho

Attention! Feel free to leave feedback.