Songtexte Zodoa - Barnaba
Abbah
you
make
my
day
This
is
Barnaba
boy
classic
(Abbah)
Na...
Nawe
zodo
zodo,
zodo
zodoa
leo
Ni
macho
kodo,
mmekodoa!
Nawe
zodo
zodo,
zodo
zodoa
leo
Ni
macho
kodo,
mmekodoa!
Sifa
ya
mwanaume
kutunza
Mwanamke
ni
wanja
Mwanamke
anapigwa
na
kanga
kaka
Msingi
wa
nyumba
kiwanja
Kuku
hachinjwi
na
panga
Mume
hawezi
kuwa
danga
dada
Awe
mnene
mwembamba,
mweusi
inahusu
Kimbau
mbau
ana
shepu
Hajui
kubusu
Vinate
uvinyonge
Hawatapiriki
Hata
ukiwa
ukweli
Wao
wanafeki
Nawe
zodo
zodo,
zodo
zodoa
leo
Ni
macho
kodo,
mmekodoa!
Nawe
zodo
zodo,
zodo
zodoa
leo
Ni
macho
kodo,
mmekodoa!
Eeh,
dunia
ya
sasa
ina
mambo,
ina
mambo
Kwako
mpya
kwa
mwenzako
kitambo,
kitambo
Nabadilisha
kwa
kutwa
kama
fulana
Si
wanaume,
kumbe
mpaka
wasichana
Kuna
mambo,
ebo!
Awe
mnene
mwembamba,
mweusi
inahusu
Kimbau
mbau
ana
shepu
Hajui
kubusu
Vinate
uvinyonge
Hawatapiriki
Hata
ukiwa
ukweli
Wao
wanafeki
Nawe
zodo
zodo,
zodo
zodoa
leo
Ni
macho
kodo,
mmekodoa!
Nawe
zodo
zodo,
zodo
zodoa
leo
Ni
macho
kodo,
mmekodoa!
Attention! Feel free to leave feedback.