Songtexte Samboira - Ben Pol
Mhh
mhh
iye
iye
iye
iyeee
Mhh
mhh
mhh
mhh
Asubuhi
tu
kukicha,
mi
nazianza
pilika
Mchana
kutwa
kutafuta,
nikutunze
langu
ua
Na
uzuri
ulonao,
nakuacha
nyumbani
peke
yako
Roho
inaniuma
mwenzio,
natamani
nishinde
kando
yako
Na
uzuri
ulonao,
nakuacha
nyumbani
peke
yako
Roho
inaniuma
mwenzio,
natamani
nishinde
pembeni
yako
Mi
napata
homa,
jioni
na
watu
ukisimama,
mh
Na
roho
inaniuma,
sokoni
kurudi
umechelewa
Mi
napata
homa,
jioni
na
watu
ukisimama
Na
roho
inaniuma,
sokoni
kurudi
umechelewa
Samboira
kuruse,
sumu
kanee
viu
ya
kutali
Jichunge
mama,
katu
sitopenda
nikukose
mpenzi
we
Samboira
kuruse,
sumu
kane
viu
ya
kutali
Jichunge
mama,
katu
sitopenda
nikukose
mpenzi
we
Ushajua
mi
nakujali
sana,
ndo
maana
moyo
wangu
unaniuma
Nakuomba
kipenzi
chunga
sana,
maana
wapo
wasopenda
kutuona
Ushajua
mi
nakujali
sana,
ndo
Maana
moyo
wangu
unaniuma
Nakuomba
kipenzi
chunga
sana,
maana
wapo
wasopenda
kutuona
Wakijipitisha
kutwa
kucha,
uwaambie
kwangu
umeshafika
Usidanganyike
na
zao
pesa,
pamba
na
magari
ni
vya
kupita
Wakijipitisha
kutwa
kucha,
uwaambie
kwangu
umeshafika
Usidanganyike
na
zao
pesa,
pamba
na
magari
ni
vya
kupita
Samboira
kuruse,
sumu
kane
viu
ya
kutali
Jichunge
mama,
katu
sitopenda,
nikukose
mpenzi
we
Samboira
kuruse,
sumu
kane
viu
ya
kutali
Jichunge
mama,
katu
sitopenda
nikukose
mpenzi
we
Samboira
kuruse,
sumu
kane
viu
ya
kutali
Jichunge
mama,
katu
sitopenda,
nikukose
mpenzi
we
Samboira
kuruse,
sumu
kane
viu
ya
kutali
Jichunge
mama,
katu
sitopenda,
nikukose
mpenzi
we
1 Nikikupata
2 Nikikupata (Acoustic Version)
3 Natuliza Boli
4 Moyo Mashine
5 Maneno
6 Maboma
7 Jikubali
8 Best of Ben Pol
9 Pete 2
10 Kidume
11 Phone
12 Yatakwisha
13 Tatu
14 Sophia
15 Samboira
16 Number One Fan
Attention! Feel free to leave feedback.