Bensoul - Salama Songtexte

Songtexte Salama - Bensoul




Jua la saa saba
Limewaka sana
Linavyonichoma
Ndivyo na kazana
Juu siwezi lala njaa
Nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama
Kiza la saa moja
Limenipata kwa shamba
Ninaogopa polisi na wakora
Siwezi lala njaa
Nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama
Siwezi lala njaa nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama



Autor(en): Bensoul


Bensoul - Qwarantunes
Album Qwarantunes
Veröffentlichungsdatum
29-05-2020




Attention! Feel free to leave feedback.