Darassa - Nikiondoka Songtexte

Songtexte Nikiondoka - Darassa




Mimi nachotaka ulimwengu mzima
Ujue mimi sina papara nsubiri mola atanipa
Saa ndio mchezo gani huoo
Wakunikonyezakonyeza mchumba hivyo
Hasira hasara dear sikia wahenga
Walishasem nami nasema
Masikanibyako kinondoni




Attention! Feel free to leave feedback.