Songtexte Mawazo - Diamond Platnumz
Ningekuwa
na
uwezo
ningekunywa
hata
pombe
ili
nipunguze
mawazo
Maana
mchana
kutwa
hata
usiku
silali
mapenzi
kwangu
kikwazo
Ningekuwa
na
uwezo
ningekunywa
hata
pombe
ili
nipunguze
mawazo
Maana
mchana
kutwa
hata
usiku
silali
mapenzi
kwangu
kikwazo
Sikujua
mapenzi
balaa
tena
ni
maladhi
ya
moyo
kupendaga
Tena
mapenzi
karaha
yanajenga
chuki
na
choyo
kwenye
kava
Utu
wangu
unathamani
inamaana
kweli
hakuvijua
Licha
ya
burudani
namapenzi
yangu
akayatimua
Utu
wangu
unathamani
inamaana
kweli
havijuaa
Mmmh!
Licha
ya
burudani
ndani
akaamua
kutimuaah!
(Inauma
sana)
Ningekuwa
na
uwezo
ningekunywa
hata
pombe
ili
nipunguze
mawazo
Maana
mchana
kutwa
hata
usiku
silali
mapenzi
kwangu
kikwazo
Ningekuwa
na
uwezo
ningekunywa
hata
pombe
ili
nipunguze
mawazo
Maana
mchana
kutwa
hata
usiku
silali
mapenzi
kwangu
kikwazo
'Kumbukia,
ubongo
unapata
mawazo
'Kumbukia,
ubongo
unapata
mawazo
'Kumbukia,
ubongo
unapata
mawazo
'Kumbukia,
ubongo
unapata
mawazo
Ona
jini
kisirani
kaingia
kwenye
utamu
wa
penzi
langu
Ameleta
tafarani
naumia
nalia
na
moyo
wangu
Ona
jini
kisirani
kaingia
kwenye
utamu
wa
penzi
langu
Ameleta
tafarani
mwenzenu
nalia
na
moyo
wangu
Kweli
wivu
me
ninao
na
roho
yangu
inaumiaa
Kweli
wapenda
nao
ndo
maadui
zikitimia!
Lile
tunda
langu
la
mara
leo
limekuwa
sumu
kwangu
Ona
tena
sina
raha
me
nacheka
nalia
na
moyo
wangu
Ningekuwa
na
uwezo
ningekunywa
hata
pombe
ili
nipunguze
mawazo
Maana
mchana
kutwa
hata
usiku
silali
mapenzi
kwangu
kikwazo
Ningekuwa
na
uwezo
ningekunywa
hata
pombe
ili
nipunguze
mawazo
Maana
mchana
kutwa
hata
usiku
silali
mapenzi
kwangu
kikwazo
'Kumbukia,
ubongo
unapata
mawazo
'Kumbukia,
ubongo
unapata
mawazo
'Kumbukia,
ubongo
unapata
mawazo
'Kumbukia,
ubongo
unapata
mawazo
Utu
wangu
unathamani
inamaana
kweli
hakuvijua
Licha
ya
burudani
namapenzi
yangu
akatimua
Utu
wangu
unathamani
inamaana
kweli
hakuvijuaa
Mmmh!
Licha
ya
burudani
ndani
akaamua
kutimuaah!
(Inauma
sana)
Attention! Feel free to leave feedback.