Erikiih - Sherehe Songtexte

Songtexte Sherehe - Erikiih




Lazima tuingie klabu na machwani
Hawa watu wakituona waone money
Hatujakuja kuchachisha, tumekuja kuball
Na benzy tuwaachie dust tuwachanganye bro
Aah Kwani ulifika saa ngapi
Sa ona Shida, ushapatana na side chick
Unaanza drama ya nini
Don't you know that both of you can drop down it for me
Eey
Ka ni mboka tuingie morning
Ikifika jioni kijana wenu ako na shughli
Lady Gaga aniweka pressure na izo movie
Izo dimples zinanice weh teletuby
Mwambie alete besteake uku kejani, ratata
Msijali niko formation vile niggas tutakaa
Mmoja alipe bar mwingine akuje na io car
Si wote tuko ndani tunageuka maswimmer
Lazima tupull up na izo maforeign
Tuko freshi nao mashorii ni ma ten
The henny, you get tipsy then we foreplay
Ibada Baada ya ibada ni sherehe
Lazima tupull up na izo maforeign
Tuko freshi nao mashorii ni ma ten
The henny, you get tipsy then we foreplay
Ibada Baada ya ibada ni sherehe
Ambia sistako ashapata in-law
Kwa Ruracio si tupull up na mabong
Na matawi zisikose kwa io show
Nyuma ya keja after session ni cologne
Mpige dua nikuje show na machoopaa
Leather jacket, real gold na maloafaa
Master grinder, kama rover
Kwa mansion niweke rotary ya chauffeurs
Usilete flowers leta bullets apa
Kwa VIP utaona erikiih na masuicidaa
Kam uchill na machine apa
Gun ablaze, only fenty na ma chainz apa
Sin city, tushike litty bro
Wasituping sai ni no no
Hatutembei na ma broke hoes
Crew imejengwa freshi na io bro code
Lazima tupull up na izo maforeign
Tuko freshi nao mashorii ni ma ten
The henny, you get tipsy then we foreplay
Ibada Baada ya ibada ni sherehe
Lazima tupull up na izo maforeign
Tuko freshi nao mashorii ni ma ten
The henny, you get tipsy then we foreplay
Ibada Baada ya ibada ni sherehe
Ni sherehe
Ibada Baada ya ibada ni sherehe
Ni sherehe
Ibada Baada ya ibada ni sherehe
Lazima tupull up na izo maforeign
Tuko freshi nao mashorii ni ma ten
The henny, you get tipsy then we foreplay
Ibada Baada ya ibada ni sherehe



Autor(en): Eric Mac, Nikolaos Klimov


Erikiih - Sherehe
Album Sherehe
Veröffentlichungsdatum
17-03-2023




Attention! Feel free to leave feedback.
//}