Songtexte Bigman - Fid Q , Rosa Ree
(Dream
big)
Hey
big
man
(eeeeh)
Hauna
vitu
vingi
man?
(eeeeh)
Na
una
move
kama
king
man?
(eeeeh)
Na
unang'ara
bila
bling
Jina
lina
ring
Big
man
tings
Hey
big
man
(eeeeh)
Hauna
vitu
vingi
man?
(eeeeh)
Na
una
move
kama
king
man?
(eeeeh)
Na
unang'ara
bila
bling
Jina
lina
ring
Big
man
tings
Kabla
ya
TikTok,
mie
nina
hit
song
nyingi
Kama
Kris
Kross,
ninaenda
kama
big
boss
Fiddy
Huwa
sijichoshi,
wala
siforce
kingi
Sina
mikosi,
mie
ni
king
kong
kama
Chidy
(Benz)
Mtoto
wa
mjini
kama
disco
Ninajiamaini
mimi
kabla
ya
mshiko
Na
hii
style
ni
kama
kipofu
mwenye
pistol
Ni
hatari
akiikoki
ujue
ni
kifo
Wenye
vijicho
hawa
kazi
Hivyo
maficho
yako
wazi
Hapa
nilipo
mtu
kazi
hawafikii
Watoto
walito
wanyamaze
Niko
na
people
ile
shazi
Hadi
tip
top
mie
mzazi
kama
Madee
Wewe
sio
mshamba?
You
wanna
chill
with
the
big
boys
huuh
Tafuta
kwanza
mkwanja,
ili
usiwaze
kuhusu
bill
unapojienjoy
Sina
chuki
ninaomba
penye
wazushi
nisiwemo
Nikikutusi,
ujue
nimeishiwa
tu
maneno
Usiwe
stupid,
kumbuka
hata
sheria
ni
msumeno
Ninawapa
toothpicks
watoto
watoe
maziwa
kwenye
meno
Inawaconfuse
kama
lesbie
mwenye
upofu
kwenye
soko
la
sushi
Huu
ni
moto
hawagusi
Kwa
huu
mchomoko
hawanikuti
Hey
shorty,
sigombanii
mpira
kama
sina
uhakika
wa
kupata
goli
Hey
big
man
(eeeeh)
Hauna
vitu
vingi
man?
(eeeeh)
Na
una
move
kama
king
man?
(eeeeh)
Na
unang'ara
bila
bling
Jina
lina
ring
Big
man
tings
Hey
big
man
(eeeeh)
Hauna
vitu
vingi
man?
(eeeeh)
Na
una
move
kama
king
man?
(eeeeh)
Na
unang'ara
bila
bling
Jina
lina
ring
Big
man
tings
Maisha
kula
msoto
njaa
kali
sikushibana
Ili
kuishi
ndoto
zangu
huwa
silali
mie
hupigana
Na
ninavyoviota
kuna
mahustla
wanavifanya
Wanapata
nilivyokosa
nikaona
kumbe
inawezekana
Sasa
sasa
kama
tik
tik
boom
ninalipuka
Na
sijali
kama
upo
sitting
room
au
ndani
ya
shuka
Mie
ni
zaidi
ya
clique
ya
wagumu
kwa
huu
mzuka
Pisi
unataka
sisi
tudumu?
Nitoe
kwa
chupa
Kiubishibishi
kuishi
haikatai
au
wewe
umesanda?
Maichi
ichi
ichi
dumbayi
anga
banga
Tanga
tanga,
kama
mbwai
mbwai
Lambalamba
chaichai
Danga
danga
bye
bye
dada
Mie
ni
big
timer
sichuji
kama
Mannie
Fresh
Siwakomelei
kama
Dayna
hawa
groupies
hawanigusi
nyeti
Mke
wangu
anayajua
mahesabu
haitafuti
thamani
ya
eksi
Mungu
wangu
amejawa
maajabu,
hanitupi,
hunifanyia
wepesi
Hey
big
man
(eeeeh)
Hauna
vitu
vingi
man?
(eeeeh)
Na
una
move
kama
king
man?
(eeeeh)
Na
unang'ara
bila
bling
Jina
lina
ring
Big
man
tings
Hey
big
man
(eeeeh)
Hauna
vitu
vingi
man?
(eeeeh)
Na
una
move
kama
king
man?
(eeeeh)
Na
unang'ara
bila
bling
Jina
lina
ring
Big
man
tings
Seh
if
you
wanna
fi
stay
number
one
fi
long
time
Ya
afi
do
big
man
tings
Ah
we
a
run
di
ground
Booom
Attention! Feel free to leave feedback.