Songtexte Ode of Resurrection: Recapitulation - HOYO-MiX
Shambulia! Beba silaha
Pigana mpaka mwishowe
Kwa nchi yetu tutaunguza damu yoyote
Rudi kwa pambaja ya dunia
Zuri, safi, sawa, sikia
Vuma, raha, nguvu, sikia
Hadithi yaendelea (kama moto)
Heshima warithi vizazi (waka daima)
Ushujaa waangaza mbingu na ardhi
Mara tena ashinda Natlan
Nyimbo kelele sana
Sikiliza zitakuongoza nyumbani
Kwa jamaa, nchi na taifa (Zuri, safi, sawa)
Kwa matumaini, mbeleni, malengo (Vuma, raha, nguvu)
Mara ya tena mwangani
Mara ya tena mwangani
Maisha marefu ni sasa
Maisha marefu ni sasa
Maisha marefu ni sasa
Maisha marefu ni sasa

Attention! Feel free to leave feedback.