Harmonize - Balaa Jipya Songtexte

Songtexte Balaa Jipya - Harmonize




Penzi nalimumuya kibogoyo
Filimbi nitapuliza kuita ndege waje
Tuko kwa bibi paje
Tulivuruge varanga
Kisha tugonge na venta
Oooh baby number
Penzi nilikilimumunya kama kibogoyo
Penzi limetaradali




Harmonize - Kwa Ngwaru
Album Kwa Ngwaru
Veröffentlichungsdatum
27-11-2019





Attention! Feel free to leave feedback.