Songtexte

Canvas Records
Ule boy wa, ule boy wa
Yeah, check it
Anavyo spin wezi jua ni wa kanisa
Kwenye hijab waweza muita Amina
Haga ni Vera na sura yake ya Marimar
Manze akisteppe kwa scene anamaliza
Mta na repeat mi napita nayo, nayo, nayo, nayo, nayo
Eeh cheki na repeat mi napita nayo, nayo, nayo, nayo, nayo
Mta na repeat mi napita nayo, nayo, nayo, nayo, nayo
Eeh cheki na repeat mi napita nayo, nayo, nayo, nayo, nayo
Eeh, tuende nalo tujoе majasho
Kama huwezi banjuka basi kaa uko kando
Cheki unadaiba ngafika bei ya collabo
Unanitisha match na unajua mi ni vajo
Nikiwa high school nilikuwa head boy
Sahi mamanzi wananipa head boy
Usipike simu kwanza kama niko session
DND masa naji enjoy
Matipi, matipi, matipi toh
Masigi, masigi, masigi no
Mazigi, mazigi, magode choke
Na pricky na mdigi kwa TikTok
Mta na repeat mi napita nayo, nayo, nayo, nayo, nayo
Eeh cheki na repeat mi napita nayo, nayo, nayo, nayo, nayo
Mta na repeat mi napita nayo, nayo, nayo, nayo, nayo
Eeh cheki na repeat mi napita nayo, nayo, nayo, nayo, nayo
Na nyuki nasikia nina mahani
Baby boy mi ndio nalipwa mahari
Kwako uptown kwangu mashinani
Nasakuana DCJ jomi hutembeanga na mali
Panya zi club cheki chekesha kiasi
Shuka na madam halafu ongeza kasi
Shika glasi hadi usiya mgazi
Passion ya mababi mamoro pia warazi
Matipi, matipi, matipi toh
Masigi, masigi, masigi no
Mazigi, mazigi, magode choke
Na pricky na mdigi kwa TikTok
Anavyo spin wezi jua ni wa kanisa
Kwenye hijab waweza muita Amina
Haga ni Vera na sura yake ya Marimar
Manze akisteppe kwa scene anamaliza
Mta na repeat mi napita nayo, nayo, nayo, nayo, nayo
Eeh cheki na repeat mi napita nayo, nayo, nayo, nayo, nayo
Mta na repeat mi napita nayo, nayo, nayo, nayo, nayo
Eeh cheki na repeat mi napita nayo, nayo, nayo, nayo, nayo

Autor(en): Harry Otieno Copyright: Black October Music

Harry Craze - Repeat - Single
Album Repeat - Single
Veröffentlichungsdatum
18-06-2026

Attention! Feel free to leave feedback.
Wird geladen
Wird geladen