Songtexte Ziondoe - Hitmaker Tk2 feat. Tricks & Lavido
Nimekuzwa
na
kazi
ya
brigicho
Foka
nifoke
na
nuksi
za
mabishoo
Ila
imani
safi
kinijiacho
Nikikosa
safi
nikipata
kipoza
roho
Ulinipa
voice
na
pumzi
ya
kubreath
Ukanipa
ability
niweze
kurap
hata
kigreek
Ukanipa
fans
wakaniita
Tricks
Ukanipa
na
mistari
sahii
naipanga
kama
bricks
Mungu
baba
nipe
baraka
wapagawe
Nani
wa
kukupinga
unayotaka
yawe
Let
your
will
be
done,
si
ndo
mana
waitwa
yawe
Kwa
ajili
yako
niko
ready
kuwa
stoned
bila
mawe
ndo
Nikiomba
gari
usinipe
toyota,
Nipe
Benz
nipe
bima
na
ka
ni
nyumba
gorofa
Kilomi
kilomita
mi
staki
unipeleke
so
far
Nifanye
mwenye
kiti
ila
kwa
ofisi
nipe
sofa
Nataka
tesla
nataka
pesa
niomoke
Kanisani
siendi
nipe
nguvu
niokoke
Demu
wangu
akiwa
kisima
mpe
na
maji
niyachote
Nimefall
kwa
maua
sama
Mungu
baba
niokote
Ziondoee
eeeh
niko
kwako
eeh
Mola
nasali
Ziondoee
eeeh
ebu
sikia
sasa
nawali
Ziondoeee
eeeeehh
niko
kwako
eeh
Mola
nasali
Ziondoee
eeeh
ebu
sikia
sasa
nawali
Nikijuwa
nimekukosea
nageuka
nawa
mudi
Napiga
goti
chini
mi
natubu
nawa
gudi
Wasamehe
mi
najuwa
ushawafanyia
wayahudi
Nipe
iphone
Mungu
niwavutie
waya
hoodie
Marafiki
wananitenga
sababu
mi
sina
jero
Michongo
inanisaliti
inanipita
ka
petero
Sa
nibariki
Mungu
mpaka
wanione
kero
Usisahau
na
petroli
ukinipa
ile
pajero
Nipeleke
further
we
ndo
baba
si
unajuwa
am
a
son
Nimulike
na
mwangaza
si
unajuwa
am
a
sun
Nataka
kuwa
legend
si
kingi
ama
Hassan
Maji
ya
uhai
nipe
ninywe
nimechoka
na
dassani
We
ndo
alpha
na
omega
Wanipa
sima
yangu
ya
kila
siku
na
vidole
vya
kumega
Ka
sijashiba
waniongeza
Ndo
mana
kwa
hili
beat
la
Tk
Trickide
nakupongeza
Ziondoee
eeeh
niko
kwako
eeh
Mola
nasali
Ziondoee
eeeh
ebu
sikia
sasa
nawali
Ziondeee
eeeh
niko
kwa
eeh
Mola
nasali
Ziondoee
eeeh
ebu
sikia
sasa
nawali
Si
binadamu
kazi
kutwa
mbiombio
Naomba
nibariki
niondoe
hichi
kilio
Nile
vya
nazi
nikichemsha
sinoni
Dhiki
na
dhiki
na
mieeeeeeeeee
Attention! Feel free to leave feedback.