Songtexte Machozi - Lady Jaydee
Nimekaa
nafikiri
badae
ninagundua
Kwamba
hutorudi
tena
sitokuwa
nawe
tena
Lakini
najipa
moyo
nione
kama
ni
ndoto
Kwani
matone
ya
machozi
nizaidi
ya
milioni
Machungu
tele
moyoni
kweli
nimejawa
hofu
Sina
tofauti
na
mpofu
hata
njia
siioni
Nani
wakunifuta
machozi
moyoni
nina
majonzi
Sina
tofauti
na
mpofu
kwani
hata
njia
siioniii
1 Distance
2 Faraja
3 Historia
4 Joto Hasira (feat. Professor Jay)
5 Kiboko Yao (feat. Jose Chameleone)
6 Machozi Ya Furaha
7 Machozi
8 Makini Samba Mpangala
9 Mimi Ni Mimi (feat. Oliver Mtukudzi)
10 Mshika Mbili
11 Natamani Kuwa Malaika
12 Nuru
13 Penzi La Kweli
14 Rafiki wa Maisha
15 Siku Hazigandi
16 Siri Yangu
17 Siwema
18 Teja
19 Umuhimu (feat. Juma Nature)
20 Understand (feat. Tid)
21 Usiusemee Moyo
22 Wanaume kama Mabinti (feat. Mwana Fa)
23 Wangu (feat. Mr Blue)
24 Yahaya
25 Yeye
Attention! Feel free to leave feedback.