Songtexte Desh Desh - Lava Lava
Mola
kammumba
Hana
Mfano
Weee
Mzuri
wa
Sura
na
Roho
Na
Njema
Tabia
Iyaaaa.
Unyagoni
Kafundwa
kwa
makungwi
somo
weee
Mahaba
Kayajaza
ndoo
Yananimwagikia
Iyaaaa
Natamani
Nimtaje
Hata
Jina
ila
Naficha
Naficha
Naifanya
siri
yangu
Kina
Fulani
wale
wakusigina
mkaleta
(mapicha)×2
akatoroka
Ndege
wangu
Si
mrefu
si
mufupi
(ah
eh)
Si
Mweupe
Si
Mweusi
(ah
eh)
Rangi
Yake
ni
ya
katikati
Kasema
kwangu
hafurukuti
(ah
eh)
Kwengine
Anaogopa
Nuksi
(ah
eh)
Mi
ni
wake
milele
Haniachi
ndo
maana
Nampenda
Mpenda
(nani)
Kijana
mmoja
(nani)
Amenifika
Kwa
roho
Makopakopa
(kopa)
Nampenda
Mpenda
(nani)
Kijana
mmoja
(nani)
Ila
Kumtaja
oooh
naogopa
ogopa
Kwa
jina
namuhifadhi
Desh
Desh
Desh
Desh,
Msije
kuninyakulia
Desh
Desh
Desh
Desh,
Kipenzi
changu
Jamani
Desh
Desh
Desh
Desh,
Mkaja
kuniharibia
Desh
Desh
Desh,
Penzi
Likawa
Mashakani
Nananaa!
Nna
Nna
Nananaaa!
Nna
Nna!
Nananaa!
Nna
Nna!
Najua
Najua
Roho
Zinawauma
Hampendi
Kuona
Mwenzenu
Na
Nawiri
Najua
mwenzenu
najua
Mwakesha
Kujituma
Kutwa
kwa
masangoma
Yangu
Kuyatabiri
Mlosema
nimeachika
Hainifiki
mikosi
Mola
ndo
mpaji
Nyongo
Mtazitapika
Mchomwe
Jua
la
Utosi
kesheni
kunijaji
Mwenzenu
kila
kukicha
kabla
kupewa
misosi
Masaji
masaji
Tunavyowakasirisha
yani
hata
tukiposti
hataki
nimtag
Enhee
si
mtu
wamagazeti
wala
page
za
udaku
ilo
mkae
mjua
Hataki
Taki
Eenhe
Enheee
mambo
yake
siri
nyeti
poleni
washakunaku
wala
msijisumbue
kumsachi
sachi
Nampenda
Mpenda
(nani)
Kijana
mmoja
(nani)
Kijana
mmmoja
(nani)
Amenifika
kwa
roho
Makopa
kopa
(kopa)
Nampenda
mpenda
(nani)
Kijana
mmoja
(nani)
Ila
kumtaja
oooh
naogopa
ogopa
Kwa
jina
namuhifadhi
Desh
Desh
Desh
Desh
Msije
kuninyakulia
Desh
Desh
Deeeesh
Kipenzi
changu
jamani
Desh
Desh
Desh
Desh
Mkaja
Kuniharibia
Desh
desh
Desh
Penzi
likawa
mashakani
Nananaa!
Nna
Nna!
Nananaa!
Nna
Nna!
Nanananaa!
Nna!
Nna!
Attention! Feel free to leave feedback.