Lava Lava - Maji Songtexte

Songtexte Maji - Lava Lava




Naskia kiu sijui wapi ntaikata
Naskia kiu jama koo linawasha
Hhhm hhmm, heheh love bite
Enheee huyo ndo pablo sasa
Maji maji (Maji) maji maji (Maji)
Maji maji (Maji) maji maji (Maji)
Maji ya kisima (Maji)
Maji ya mtungi (Maji)
Maji ya mtaro (Maji)
Maji ya kandoro (Maji)
Nataka maji maji (Maji)
Maji maji (Maji) maji maji (Maji)
Maji maji (Maji)
Churrrr aaah I like it, I like it, I like it
Churrr aaah I like it, I like it, I like it
We pablo hushikiki, we pablo hushikiki
We pablo hushikiki, hushikiki hushikiki
We ninja hushikiki, we ninja hushikiki
We ninja hushikiki, hushikiki hushikiki
Huyu chura wa wapi huyu
Kidogo tu kashamwaga maji (Wa bukoba huyo)
Huyu chura wa wapi huyu?
Hatulii akishaona maji (Wa tabata huyo)
Huyu chura wa wapi?
Anakataa maji anaagiza maji (Mlokole huyo)
Huyu chura wa wapi?
Anamwaga radhi kisa kanywa maji aaaaaaah!!!
Nataka maji maji (Maji)
Maji maji (Maji) maji maji (Maji)
Maji maji (Maji)
Maji ya kidimbwi (maji)
Maji ya wavuvi (Maji)
Ya kunduchi beach (Maji)
Maji ya chumvi (Maji)
Churrrr aaah I like it, I like it, I like it
Churrr aaah I like it, I like it, I like it
We pablo hushikiki, we pablo hushikiki
We pablo hushikiki, hushikiki hushikiki
We ninja hushikiki, we ninja hushikiki
We ninja hushikiki, hushikiki hushikiki
Asa mwaga maji tucheze kama kambale
Mwaga maji tulewe tugalegale
Mwaga maji tucheze kama kambale
Mwaga maji tulewe tugalegale
Asa mwaga maji tucheze kama kambale
Mwaga maji leo tupompaka mishale
Mwaga maji tucheze kama kambale
Mwaga maji leo tupo mpaka mishale



Autor(en): Abdul Juma Idd, Gaspar Regane


Lava Lava - Maji
Album Maji
Veröffentlichungsdatum
13-06-2024

1 Maji




Attention! Feel free to leave feedback.
//}