Songtexte Ng'ari Ng'ari - Lava Lava
(Ayolizer)
(Dopabeat)
Ah,
nimetulizana
ndege
kwa
kiota
sitoki
Mambo
mwororo
Nimenasiana
hata
kwa
kukokotwa
sing'oki
Kwa
minyororo
Nishasahau
zamani
kushikana
mashati
mizozo
Mapenzi
gani
kila
kukicha
vibonzo
Nimepata
mwandani
bila
VAT
bila
tozo
Wambea
kunani
mnakipi
'kina
mama
nyonzo
Na
nimeamua
sitaki
sitaki
Kurudia
matapishi,
nishakula
yamini
divai
Aende
akanishitaki
mahakamani,
polisi
Kama
kuna
kitu
ananidai
Oh,
poleni
wanokonoko,
penzi
linametameta,
meta
Mwali
fundi
si
kitoto,
kama
kasomea
VETA,
VETA
Mwiteni
na
kiroboto,
mje
na
matarumbeta,
mbeta
Sisi
twachochea
moto,
roho
kuwakereketa
Penzi
linang'ara,
ng'ari
ng'ari
Mtaliona
hivi
hivi,
ng'ari
ng'ari
Kwa
mbali
linapepea,
ng'ari
ng'ari
Mtaliona
hivi
hivi,
ng'ari
ng'ari
Wenyewe
twajifaidia
Aniita,
aniita
mi'
Ayuni
Namwita
namwita
Nyonda
Sabuni
Anipa
anipa
mpaka
bafuni
Sio
mbwembwe
ndio
zake
tamaduni
Ah,
najiamini
niko
peke
yangu,
ndio
maana
natamba
Sina
shaka
hofu
kwa
raha
zangu,
hata
mkinichamba
Wenye
roho
za
kwanini,
nitajijua
zangu
niko
naye
sambamba
Mi'
napenda
yake
anapenda
yangu,
kuilamba
lamba
Zifikisheni
salamu
kwa
yule
kidudu
mtu
Mwambie
kutesa
kwa
zamu
asipige
marufuku
Yani
ni
mashamu
shamu
leo
mambo
iko
huku
Nimempata
Beckham
fundi
si
butubutu
Oh,
poleni
wanokonoko,
penzi
linametameta,
meta
Mwali
fundi
si
kitoto,
kama
kasomea
VETA,
VETA
Mwiteni
na
kiroboto,
mje
na
matarumbeta,
mbeta
Sisi
twachochea
moto,
roho
kuwakereketa
Penzi
linang'ara,
ng'ari
ng'ari
Mtaliona
hivi
hivi,
ng'ari
ng'ari
Kwa
mbali
linapepea,
ng'ari
ng'ari
Mtaliona
hivi
hivi,
ng'ari
ng'ari
Wenyewe
twajifaidia
Mwenzenu
napewa
vitamu;
tende,
halua,
halua
Vya
pwani,
vya
bara;
tende,
halua,
halua
Anipa
haninyimi
wala;
tende,
halua,
halua
Mwenzenu
nalishwa
nalala;
tende,
halua,
halua
Aah
(Wasafi)

Attention! Feel free to leave feedback.