Songtexte Tajiri - Lava Lava
Nilikupigia
simu,
chaji
ikakata
Nikakutilia
timu
mjengoni
sijakupata
Akili
ikaruka
wazimu,
n'takulaje
bata
We'
ni
mtu
muhimu
nikiwa
nawe
najipata
Halo,
halo,
halo,
halo
Halo,
halo,
halo,
halo
Hehe,
love
bite
LG
my
G
(Mr
LG)
Afadhali
(nimekuona)
Afadhali
(tumeonana)
Afadhali
(nimekuona)
Afadhali
(tumeonana)
Nilikaa
kinyonge
sana
(tajiri,
huna
adui,
tajiri)
Wacha
niagize
pombe
nyama
(tajiri,
huna
adui,
tajiri)
Eh,
na
bebe
ziletee
Savana
(tajiri,
huna
adui,
tajiri)
Tajiri
atalipa
bwana
(tajiri,
huna
adui)
eh-he,
(tajiri)
Nilikupigia
simu,
chaji
ikakata
Nikakutilia
timu
mjengoni
sijakupata
Akili
ikaruka
wazimu,
n'takulaje
bata
We'
ni
mtu
muhimu
nikiwa
nawe
najipata
Halo,
halo,
halo,
halo
Halo,
halo,
halo,
halo
Tih
kwanza
hunaga
mapozi
(hauna
mbambamba)
Wala
hunaga
mamluki
(hauna
mbambamba)
Haki
ya
Mungu
ukifa
hauozi
(hauna
mbambamba)
Na
ukioza
haunuki
Tulikaa
kinyonge
sana
(tajiri,
huna
adui,
tajiri)
Wacha
tuagize
pombe
nyama
(tajiri,
huna
adui,
tajiri)
He,
wanangu
wazimike
jama
(tajiri,
huna
adui,
tajiri)
Tajiri
atalipa
bwana
(tajiri,
huna
adui)
eh-he,
(tajiri)
'Asa
mwaga
noti
mwaga
(mwaga)
Tajiri
mwaga
(mwaga)
'Asa
mwaga
noti
mwaga
(mwaga)
Tajiri
mwaga
(mwaga)
Eh,
mwaga
noti
mwaga
(mwaga)
Nasema
mwaga
(mwaga)
Eh-he
Mwaga
(mwaga)
Jamani
mwaga
(mwaga)
L-G,
L-G,
L-G,
L-L-G
Shabash
Kamix
Lizer

Attention! Feel free to leave feedback.