Lulu Diva - Usimwache Songtexte

Songtexte Usimwache - Lulu Diva




Usimwache hata kwa utani utani ×2
Nilshawahi kuwa nae, nika achana nae
Nikaja juta baadae,
Wapendanao wakitengana usishangae,
Nangoja akuchumbie (Ayaya×2),
Na kadi anipatie,
Harusi niuzulieee (ayaya×2),
Nibebe zawadi na mie (ayaya×2)
Usimwache hata kwa utani utani×4



Autor(en): lulu diva


Lulu Diva - Usimwache
Album Usimwache
Veröffentlichungsdatum
22-02-2017




Attention! Feel free to leave feedback.