Songtexte On Top - Octopizzo
Oyaaa!!
YGB
namba
Nane
Walidhani
wakibuy
subaru
watakuwa
wameacha
legacy
Octo
niko
juu
ya
madawa
ni
kaa
nimekalia
pharmacy
Brain
iko
full
ata
ujinga
hiwezi
ulizia
vacancy
Unataka
kuwa
ka
mi
come
YGB
then
hang
na
si
Bado
unakunywa
Cham
eh,
zangu
ni
ma
Hennessy
Kuja
na
attitude
tukuingize
maira,
kamasi
Tunawahemesha
tunawachochoa
wakitokwa
na
makamasi
Mafuta
ikiisha
tutapita
na
makaa
basi
Ukikula
chungwa
na
ndizi
mi
nitakula
nanasi
Niko
mbele,
wako
nyuma
ka
wafuasi
Reason
ni
daily
maze,
me
huwachoma
ka
pasi
Wanakam
so
slow,
ju
track
iko
kasi
Sahi
namek
doh,
jo
mtu
wangu
niko
kazi
Mtaa
naenda
na
maziwa
ju
corrupt
game
mi
ni
mzazi
Cost
ya
kila
kitu
imepanda,
Ebu
enda
Mombasa
mtu
wangu
uulize
bei
ya
mnazi
Number
nane
wapi?
Number
nane
on
top
Octopizzo
wapi?
Octopizzo
on
top
So
get
that
mulla,
buy
that
ndula,
say
Get
that
mulla,
buy
that
ndula
YGB
wapi?
YGB
on
top
Octopizzo
wapi?
Octopizzo
on
top
So
get
that
mulla,
buy
that
ndula,
say
Get
that
mulla,
buy
that
ndula
I
spit
fire
then
I
let
it
burn
like
Usher
Corrupt
game
nadai
cash
ka
Akasha
First
class
picnics
nipate
Naivasha
Kuroll
na
mamodel
wasupa
ka
kina
Natasha
Sitembei
na
wallet,
doh
kwa
bahasha
Walijiona
the
storm
sai
nawamek
rasharasha
Who's
smarter
now?
Si
wewe
Niko
juu
yao
nawachungulia
ka
mwewe
Octo
AKA
itisha
upewe
YGB
AKA
itisha
ulewe
Just
a
minute
wacha
nimalize
kuchana
Na
si
nywele,
ni
vijiti
Ka
plantation
za
Kericho,
washatii
Na
ka
bado
itabidi
nimewashika
mashati
Niwagote
ata
kuliko
wanati
Ju
ukikuja
na
rap
game
my
I
own
Shit
ka
mabati
Number
nane
wapi?
Number
nane
on
top
Octopizzo
wapi?
Octopizzo
on
top
So
get
that
mulla,
buy
that
ndula,
say
Get
that
mulla,
buy
that
ndula
YGB
wapi?
YGB
on
top
Octopizzo
wapi?
Octopizzo
on
top
So
get
that
mulla,
buy
that
ndula,
say
Get
that
mulla,
buy
that
ndula
Natoka
Kibera
lakini
ata
nikisota
sicopy
Hawana
style
skuizi
yangu
ndio
wanajaribu
kucopy
coz
Wanaluck
originality
ka
photocopy,
Si
sikizani
na
paparrazi
ju
mi
ni
photophobic
Lakini
kwa
battle
nazidi
kuwamada
na
Logic,
am
so
straight
Octo
mi
ni
omophobic
Boy
yuko
na
flow
moja
kali
ka
elnino,
Bongo
mi
ni
most
wanted
jo
ka
albino
Akili
ni
nywele,
Linda
zako
jo
ka
mokorino,
hiphop
kwa
damu
natumia
blood
ka
wino
Daily
huaga
nazidi
kuexcel
ka
chino,
Daily
nawachenga
zile
za
ki
Ronaldinho
Ka
unaumwa
sana
mtu
wangu
pia
unaeza
kunywa
ino
Ukinibo
sana
mtu
wangu
pia
naweza
kutukana
*##*
Ni
I
double,
P-I
mambo,
sahii
niko
on
the
spot
ka
Radio
Jambo
Nakunyanyasa
ata
kuliko
madha
wako
wa
kambo
Na
ka
hujawai
jua
mtu
wangu
rap
sijaanza
kitambo
Nimeanza
juzi
na
tayari
niko
kwa
mitambo,
Niko
used
to
the
machines
maze
ka
Rambo
Wananiogopa,
siku
hizi
wakiniona
wanaanza
kusitasita
ka
list
ya
Ocampo
Octopizzo
wapi?
Octopizzo
on
top
Number
nane
wapi?
number
nane
on
top
So
get
that
mulla,
buy
that
ndula,
say
Get
that
mulla,
buy
that
ndula
YGB
wapi?
YGB
on
top
Octopizzo
wapi?
Octopizzo
on
top
So
get
that
mulla,
buy
that
ndula,
say
Get
that
mulla,
buy
that
ndula
1 Bila Mic
2 Mama
3 Biz Ni Biz
4 On Top
5 Vowels
6 Tony Montana
7 Blackstar
8 Ivo Ivo
9 Memories
10 Unaninokia
11 Who Knew
Attention! Feel free to leave feedback.