Rama Dee feat. Mapacha - Kuwa Na Subira Songtexte

Songtexte Kuwa Na Subira - Rama Dee feat. Mapacha




Utaambiwa sina mapenzi
Utaambiwa si mwaminifu mi
Utaambiwa sio binadamu kwenye mapenzi
Utaambiwa sina umuhimu kwako
Stahili yangu si kuoa ni kucheat mademu si kweli mpenzi
Utaambiwa sina mapenzii
Ooh




Rama Dee feat. Mapacha - Kipenda Roho
Album Kipenda Roho
Veröffentlichungsdatum
08-09-2017



Attention! Feel free to leave feedback.