Rich Mavoko - Navumilia Songtexte

Songtexte Navumilia - Rich Mavoko




Japo moyo haujasema Kama penzi lako kwangu sinema Nikakuvisha pete
Chanda chema Mi nilitukutunza hukuwa mwema Mapenzi sio ubavuu Useme
Nilazimishe Tatizo upendo unaniumiza mimi
Oh macho Yanakuona unaniumiza mimi ohh macho
Yote navumiliaa Umenipa nini nakupenda sana
(Navumiliaaa)
Unajua umelewa unanitukanaaa
(Mengi navumilia)
Tukibishana hutaki kugombana
(Navumiliaaa)
Ila yote baby
(Huooni tu)
Wamauteka moyo wangu
(Huooni tu)
Wakatili hisia zanguu
(Huooni tu)
Kunidhalili mbile ya wenzanguu
(Huooni tu)
Mi mnyongee vizuri unajua udhaifu wangu Chochote nikuhonge ili
Uitunze aibu yangu Ushajua nabaki nabaki mazima Hata niwena haki kosa
Kwangu we huna Ndiioo maana najitahidii ifike siku ubadilike Usipende
Vya zaidi Nikupe kidogo tu uridhike Ukiacha pengo kitabaki nini,
Mi wakoo Nimeshikama kali ninevuta mpini,
Msiba wakoo Yote navumiliaa Umenipa nini nakupenda sana
(Navumiliaa)
Unajua umelewa umelewa unanitukanaa
(Mengi Navumiliaa)
Tu kibishana hutaki kugombana
(Navumiliaa)
Ila yote kaby
(Huooni tu)
Wamauteka moyo wangu
(Huooni tu)
Wakatili hisia zangu
(Huooni tu)
Kunidhalili mbele ya wenzanguu (Huooni tu) Mtoto mtamu chuchu
(Nitakunis wewe)
Kasauti kama kasuku nitakumis wewe Sijekuhangwa ruzuku
(Nitakumis wewe)
Kaja niacha kapuku
(Nitakumis wewe)



Autor(en): Rich Mavoko


Rich Mavoko - Navumilia
Album Navumilia
Veröffentlichungsdatum
15-02-2019




Attention! Feel free to leave feedback.