Rich Mavoko - Silimisha Songtexte

Songtexte Silimisha - Rich Mavoko




Kwanza kabisa salamu zangu ziende kwa bibi
Kijijini kwetu kimbiji pale nilipolelwwa
Nishatafuta iyee iyeee
You're my only one
Napepewa napendwa nasikia raha
Penzi nalimumunya kibogoyo
Yaani nalioga sio kunawa
Nawaa.
Hadi bububuu umepitiliza



Autor(en): Rich Mavoko



Attention! Feel free to leave feedback.