Shetta - Kerewa Songtexte

Songtexte Kerewa - Shetta




Kwanza umejazika kama mlima kitonga,
Mpaka mabitozi wanajigonga,
Figure matata na kweli umekwenda skonga,
Je napokumiss naku-call tunabonga,
Hello we ndio mamito
Amini mi ndio papito
Ah we, we ndio mamito,
Achana nao ya dunia yote mapito
Okay yes, we ni bonge la demu,
Hata machizi wamesema bonge la demu
Tupendane tupeaneyaanikila sehemu,
We ndio mama kaila
Of course mi ndio baba kaila
Amini wewe ndio mama Kaila
Achana nao wanaokufata wote ni taila
We ni wangu tu, tena waambie watuache tulalale
We ni wangu tu, husije niacha nikachekwa na wale
Ona naimba
Kerewa, kerewa,(ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Ah kerewa aya ya ya
Kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Ah kerewa, aya ya ya
Yoh umenipa nafasi sitaki nikosee
Sitaki mwendo kasi sitaki nipotee
Changanya kila kitu mpaka nikolee
Mi ni wako kila siku nipokee
Jua kweli nakupenda mama,
Siwezi kukuigiza drama
Vicheche nawakatalia sana,
Na nafurahi pia unabania wana
Mpaka wanasema hunifai kabisa,
Wanatamani nikuache kwa visa
Wengine wanataka nikuuze ka hisa
Ila mcizinimegoma sikuachi kabisa
Oh yeah
We ndio mama kaila
Of course mi ndio baba kaila
Amini wewe ndio mama Kaila
Achana nao wanaokufata wote ni taila
We ni wangu tu, tena waambie watuache tulalale
We ni wangu tu, usije niacha nikachekwa na wale
Ona naimba
Kerewa, kerewa,(ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Ah kerewa aya ya ya
Kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Ah kerewa, aya ya ya
Sa usiniumize basi (ayaya)
Ukanipa wasi wasi,(ayaya)
Ah ka ugonjwa ka nafsi (ayaya)
Moyo ukanienda kasi (ayaya)
Usiniumize basi (ayaya)
Ukanipa wasi wasi,(ayaya)
Ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)
Moyo ukanienda kasi (ayaya)
Ah si unajua wenye chuki na hiyana
Wametukania sana
Tena usiku na mchana,
Wakiomba kuachana
Si usiniumize basi (ayaya)
Ukanipa wasi wasi (ayaya)
Ah ka ugonjwa ka nafsi (ayaya)
Moyo ukanienda kasi (ayaya)
Ayaya
Ya baba Kaila
Ayaya
Ayaya
Ayaya
End...




Shetta - Kerewa
Album Kerewa
Veröffentlichungsdatum
13-02-2015

1 Kerewa




Attention! Feel free to leave feedback.