Songtexte Chuki - Wyre
                                                Na 
                                                na 
                                                na 
                                                na 
                                                ...
 
                                    
                                
                                                Ni 
                                                sababu 
                                                gani 
                                                mwanitenda 
                                                hivi
 
                                    
                                
                                                Uwongo 
                                                mwanena 
                                                kunihusu 
                                                mimi
 
                                    
                                
                                                Hamnifahamu 
                                                hamjui
 
                                    
                                
                                                Chenye 
                                                nafanya 
                                                maishani
 
                                    
                                
                                                Mwangu 
                                                nyumbani
 
                                    
                                
                                                Mwangu 
                                                nyumbani
 
                                    
                                
                                                Mijidai 
                                                eti 
                                                nyie 
                                                marafiki
 
                                    
                                
                                                Kumbe 
                                                nia 
                                                zenu 
                                                zilikuwa 
                                                kundi
 
                                    
                                
                                                Kunitenganisha 
                                                na 
                                                mpenzi
 
                                    
                                
                                                Wa 
                                                roho 
                                                yangu 
                                                na 
                                                kuniacha
 
                                    
                                
                                                Mashakani, 
                                                taabani
 
                                    
                                
                                                Ni 
                                                chuki, 
                                                ndio 
                                                na 
                                                hisi
 
                                    
                                
                                                Nikiwaza 
                                                jinsi
 
                                    
                                
                                                Mlivyojitolea 
                                                kuniudhi
 
                                    
                                
                                                Bila 
                                                matokeo 
                                                yaani
 
                                    
                                
                                                Ni 
                                                chuki, 
                                                ndio 
                                                na 
                                                hisi
 
                                    
                                
                                                Nikiwaza 
                                                jinsi
 
                                    
                                
                                                Mlivyojitolea 
                                                kuniudhi
 
                                    
                                
                                                Bila 
                                                matokeo 
                                                yaani
 
                                    
                                
                                                Mambo 
                                                yenu 
                                                mi 
                                                sishughuliki 
                                                nayo
 
                                    
                                
                                                Mnavyoishi 
                                                mimi 
                                                sina 
                                                hoja 
                                                nayo
 
                                    
                                
                                                Kinachonihusu 
                                                si 
                                                lazima
 
                                    
                                
                                                Mkifahamu 
                                                na 
                                                kushinda
 
                                    
                                
                                                Mkipiga 
                                                domo
 
                                    
                                
                                                Mkipiga 
                                                domo
 
                                    
                                
                                                Mlichotenda 
                                                kwangu 
                                                kweli 
                                                hakifai
 
                                    
                                
                                                Kiwango 
                                                cha 
                                                unchungu 
                                                mlinipa 
                                                yaani
 
                                    
                                
                                                Sina 
                                                heshima 
                                                kwenu 
                                                tena
 
                                    
                                
                                                Ukuta 
                                                wa 
                                                chuki 
                                                mlijenga
 
                                    
                                
                                                Kati 
                                                mi 
                                                nanyi
 
                                    
                                
                                                Kati 
                                                mi 
                                                nanyi
 
                                    
                                
                                                Ni 
                                                chuki, 
                                                ndio 
                                                na 
                                                hisi
 
                                    
                                
                                                Nikiwaza 
                                                jinsi
 
                                    
                                
                                                Mlivyojitolea 
                                                kuniudhi
 
                                    
                                
                                                Bila 
                                                matokeo 
                                                yaani
 
                                    
                                
                                                Ni 
                                                chuki, 
                                                ndio 
                                                na 
                                                hisi
 
                                    
                                
                                                Nikiwaza 
                                                jinsi
 
                                    
                                
                                                Mlivyojitolea 
                                                kuniudhi
 
                                    
                                
                                                Bila 
                                                matokeo 
                                                yaani
 
                                    
                                
                                                Na 
                                                na 
                                                na 
                                                na
 
                                    
                                
                                                Ni 
                                                shida 
                                                kuamini 
                                                yaani
 
                                    
                                
                                                Na 
                                                na 
                                                na 
                                                na
 
                                    
                                
                                                Kiwango 
                                                cha 
                                                uchungu 
                                                mlionipa
 
                                    
                                
                                                Na 
                                                na 
                                                na 
                                                na
 
                                    
                                
                                                Heshima 
                                                kwenu 
                                                mimi 
                                                sina 
                                                tena
 
                                    
                                
                                                Na 
                                                na 
                                                na 
                                                na
 
                                    
                                
                                                Basi 
                                                chuki 
                                                ndio 
                                                mimi 
                                                nahisi
 
                                    
                                
                                                Ni 
                                                chuki, 
                                                ndio 
                                                na 
                                                hisi
 
                                    
                                
                                                Nikiwaza 
                                                jinsi
 
                                    
                                
                                                Mlivyojitolea 
                                                kuniudhi
 
                                    
                                
                                                Bila 
                                                matokeo 
                                                yaani
 
                                    
                                
                                                Ni 
                                                chuki, 
                                                ndio 
                                                na 
                                                hisi
 
                                    
                                
                                                Nikiwaza 
                                                jinsi
 
                                    
                                
                                                Mlivyojitolea 
                                                kuniudhi
 
                                    
                                
                                                Bila 
                                                matokeo 
                                                yaani
 
                                    
                                 
                            1 Defintion of a Love Child
2 Tabasumu
3 Make a Choice
4 Chuki
5 Defination
6 Njoo Mpenzi Wangu
7 Tel Me What You Want
8 Upendo Wako
9 She Say That
10 Usuba Wa Uongo
11 Sikiza
12 Adijah Nisubiri
13 Better Man
14 I Wanna Be
Attention! Feel free to leave feedback.
                 
                                                         
                                                         
                                                         
                                                         
                                                         
                                                        