Songtexte Mama - Zuchu
Heh!
Zuchu,
Chu,
Chu,
Chu
Gogu
(Ayo
Lizer)
Mmh,
rafiki
yangu
kwenye
shida,
rafiki
yangu
kwenye
raha
Niko
naye
kila
mida,
hajawahi
nikataa
Yuko
radhi
mi
kushiba,
yeye
ndo
ashinde
njaa
Sio
mwengine
ni
mama
Labda
nikupe
picha
Uone
nafasi
yako
maana
Nikikukosa
kwenye
maisha
Eh-eh,
kiukweli
itanichanganya,
eh-eh-eh
Mitihani
Yake
yangu
mimi
Nikulipe
nini
Kiasi
gani
mi
sioni,
oh,
mama
Mama,
I
love
you,
mama
Mama,
nakupenda
sana
Mama,
I
love
you,
mama
Mama,
nakupenda
sana
Mmh,
ee
Mola
uliyejaa
rehema
natanguliza
shukrani
(asante)
Bila
huyu
mama
mwema
ningekuwa
mgeni
wa
nani
(asante)
Mnaowavunjia
heshima
nyie
mnawezaje
kwani
Mimi
wangu
akinuna,
moyo
unakosa
amani
Mitihani
Yake
yangu
mimi
Nikulipe
nini
Kiasi
gani
mi
sioni,
oh,
mama
Mama,
I
love
you,
mama
Mama,
nakupenda
sana
Mama,
I
love
you,
mama
Mama,
nakupenda
sana
Hey,
mamangu
njoo
tucheze
kandili
(kandili
katikatikati
katikati)
Cheza
kandili
(kandili
katikatikati
katikati)
Tingisha
kiwiliwili
(kandili
katikatikati
katikati)
Kakaka
(kandili
kati)
Attention! Feel free to leave feedback.