Case - You Just Don't Know Lyrics

Lyrics You Just Don't Know - Case



Ni maradufu upendo wako umenifaa
Ni maradufu (yeah yeah)
Uwepo wako umetawala
Nikiwa peke yangu
(Bado bado sijakamilika)
Bado
Hata mipango yangu bado bado
Inavurugika bado
Hakuna anayezidi kwako mama
Nguvu ya mapenzi yako balaa
Umenifanya nijione bora
Bila we mi siwezi ng'ara
No No
Incase you don't know
Ntacheka nawe ntacheza
Nawe ntaimba nawewe
Incase you don't know
Ntaringa nawe ntakwenda
Nawe popote mababy
Incase you don't know
Ntacheka nawe ntacheza
Nawe ntaimba nawewe
Incase you don't know
Ntaringa nawe ntakwenda
Inaweza kuwa fresh ka unatime twende mahali out
Ok inachosha
Usimind naeza kaa kwa couch
Nitry kukuimpress
Ata smile baby angalau
Na tunaitesa hii town
Tunairound wallahi
Mahater wanakesha wakitry
Kubring your lover down
Husikuwe na pressure
Sit down let me run my mouth
Isikuogopeshe ikisound kama wedding vows
Nikutumie location
Ucome mahali pia tulunch
Night ikue special surround
Sound movie loud
You be loud si huwa loud hata bila party
(Its a part for two)
My mission is always stay true
Leave to see my dreams come true
With you wuwuwuwuwuwu
I smell the whine on your breath
Then you turn around
And whine by yourself for me
You got me trying to resist
I pay no mind to the rest
Na nakuanga nimekumind
Your the best for me
You pretty bum look
Now you make me love you
Now let remind you or tell you
(Chorus jux)
Incase you don't know
Ntacheka nawe ntacheza
Nawe ntaimba nawewe
Incase you don't know
Ntaringa nawe ntakwenda
Nawe popote mababy
Incase you don't know
Ntacheka nawe ntacheza
Nawe ntaimba nawewe
Incase you don't know
Nawe ntakwenda
Nasema mii najivunia kuwa nawe
Kwa furaha unayonipa nipa darling
Incase you don't know
Nawe ntacheza
Nawe ntaimba nawewe
Incase you don't know
Ntaringa nawe ntakwenda
Nawe popote mababy
Incase you don't know
Nawe ntacheza
Nawe ntaimba nawewe
Incase you don't know
Ntaringa nawe ntakwenda



Writer(s): Case Woodward, Le-var A Tone Wilson, Brian Palmer


Case - Heaven's Door
Album Heaven's Door
date of release
31-03-2015



Attention! Feel free to leave feedback.