ALIKIBA - So Hot Lyrics

Lyrics So Hot - ALIKIBA



Eeh kama bahati sandakalawe
Nimeipata kwako baby (baby)
Usinichukulie poa
I′m addicted to you baby
Nimtii mwema nipigwe mawe
Sababu yako baby (baby)
Wapinzani wananichora na me naona
Umenipata Nimekwisha haina utata
Kubisha uje tukwee mapipa
Tule bata delisha
Haina majoto haina
Tukule mafoto Kiaina
Nikuvishe pete final
Baby we wamoto, wamoto
You are so hot
You are so hot
You are hot
You are so hot
Dunia we ndio baby nataka
We ni nguli wa mapenzi sina shaka
Kaka shemeji ushapata
Wife material no hajayatalaka
Tunao tunao
Wacha wapige domo tunao
Si wapagi promo hao
Hatarii achana nao
Na umenipata nimekwisha
Haina utata kubisha
Uje tukue mapipa
Tule bata delisha
Haina majoto haina
Tutwange mafoto kiaina
Nikuvishe pete final
Baby we wamoto
Wamoto ooh
You are so hot
You are so hot
You are hot
You are so hot
Ooh no!
Kwenye akili yangu
Baby unitawale unitawale
Kwenye maisha yangu
Amani itawale itawale iyee
We changuo langu
We unashinda wale
We unashinda wale
We ndiyo macho langu leo naona
You are so hot
You are so hot
You are hot
You are so hot



Writer(s): Ally Salehe Kiba


ALIKIBA - So Hot
Album So Hot
date of release
16-09-2020




Attention! Feel free to leave feedback.