Lyrics Vifuu Tundu - AT
Wao
hao
hao
hao
wajuaji
wa
kusema(vifuu
tundu)
Wao
hao
hao
hao
wanasema
yaso
maana(vijitu)
Ndo
maana
hawapokei
kwasababu
wana
laana
Aposa
see
abando
ukucha(4)
Hodi
hodi
naingia,
naziregesha
salamu
Mlango
walopitia
kupita
Mimi
kharamu
Najua
mna
hamu.,
ugomvi
kwenyu
tunu
Kwa
mwenye
akili
timamu
Kugombana
kwake
sumu.
(Maneno
yenu
wala
hayamfanyi
mtu
kua
Mwembaba
eeh
ndo
kwanza
azidi
kunawiri
Kama
shina
la
mgomba)
Mnapita
pita
pita
kusema
wasoyajua
Mnazua
zua
zua
mwishoni
mtazomewa×2
Mjumbe
ulinambia
nikabisha
katukatu
Katika
hii
dunia
wengine
majini
watu×2
(Mwanamke
mbea
utamjua
tu
mdomo
wake,
mweusii
kama
kunguru)
Minaona
bora
mfanye
yanowahusu
Huo
umbea
wenu
msopitwa
kama
kasuku
×2
(ndio)
Nyinyi
ni
lama
kasuku,
mnanifuata
huku
Wooriweeee
Ahaaaa
Uliona
wapi
nyumba
ya
udongo
ikapigwa
deki
Ina
huu
Wee
ndara
tuu
Thamani
yako
chooni,
chumbani
waishia
mlangoni
Waaammbbiiiee
Kila
mwenye
chuki
na
mie
Ujumbe
huh
umfikie
Mtazidi
kunichukia
na
dunia
utaiona
moto
Kindumbwe
ndumbwe
Kindumbwe
dumbwe
Wanalia
wanalia
hao
Kumbe
ni
choyo
Kumbe
ni
choyo
Haooo
Eehh
unashangaa
Mimi
kula
kwa
Album
Yule Baba
1 Ya Smin
2 Wanimaliza - Version 1
3 Vifuu Tundu
4 Nipigie - Version 1
5 Wanimaliza - Version 2
6 Usikomae Nae
7 Sijaribu
8 Unatamani
9 Yule Baba
10 Bao La Kete
11 Nipigie - Version 2
12 Wanimaliza - Version 3
13 Waswahili
14 Yamini
15 Sitaki Kusemwa
Attention! Feel free to leave feedback.