Lyrics I Don't Wanna Be Alone - Ay
I
don't
wanna
be
so
lone
I
don't
wanna
walk
alone
I
don't
wanna
stand
alone
I
don't
wanna
be
alone,
in
the
world!
Wanadamu
huwa
wepesi
kudharau
Misukosuko
ikipungua
basi
na
Mungu
ndo
wanamsahau
Wengine
amani
inatoweka,
hawakumbuki
walikotoka
(Success)
wazipatazo
wao
wanaona
ka
wameokota
Siku
bado
zinapita
na
mengi
yanabadilika
Umri
unaongezeka,
mambo
mengi
umeshapitia
Ila,
nakuona
mnyonge
na
umekata
tamaa
Basi
piga
moyo
konde
na
uzidi
komaa
(komaa)
Safari
uliyokuwa
nayo
hapa
duniani
Safiri
kwa
imani,
kwani
ujue
siku
hazifanani
Kwani
naamini
hakuna
anaejua
mbele,
sidhani
Zaidi
ya
Maanani,
ambaye
ndio
nguzo
hapa
duniani
Shukuru
kwa
kila
jambo,
liwe
baya
au
jema
Ndo
mapenzi
yake
tu,
so
niamini
nachosema
Muache
aitawale,
aiongoze
roho
yako
Ujifungue
kwenye
pingu
za
maovu,
uwe
peke
yako
I
don't
wanna
be
so
lone
I
don't
wanna
walk
alone
I
don't
wanna
stand
alone
I
don't
wanna
be
alone,
in
the
world!
Magari,
yakifahari
Nyumba
za
ghorofa,
shilingi
na
dollar
Unatawala,
umesoma
sana
Mambo
haya
ya
dunia,
tafadhali
sikiliza
Maisha
ni
moja,
kifo
ni
siku
moja
Shida
ni
kuingoja,
piga
magoti
wewe
omba
I
don't
wanna
be
so
lone
I
don't
wanna
walk
alone
I
don't
wanna
stand
alone
I
don't
wanna
be
alone,
in
the
world!
Kitu
bora
kuhusu
kesho,
ni
uwe
bora
zaid
ya
leo
Maisha
matokeo,
na
Mungu
ndo
letu
kimbilio
Aliyekuvusha
kwa
milima,
atakuvusha
kwa
mabonde
Basi
usitazame
nyumba,
zidi
songa
mbele
twende
Pumzi
kakupa
nani?
Shukuru,
utapungua
nini!?
Vyote
kakupa
yeye,
na
bado
humthamini
Vito,
pesa
na
mali
zenye
thamani
Zisikufanye
udiriki
ukapungukiwa
na
imani
Kumsahau,
kumdharau,
kutomwamini
aleyekupa
Kujiona
juu,
umepanda
dau,
na
kujikuta
umeanguka
Basi
muombe
akusamehe,
maisha
yako
akuendeshee
Mabaya
yote
akuepushe,
uishi
raha
mustarehe
Sema
'asante
Mungu'
kwa
kila
siku
unayoanza
Na
pia
'asante
Mungu'
kwa
kila
siku
unayoenda
Mungu
wa
watu
weupe,
ndio
Mungu
wa
watu
weusi
Usimkumbuke
tu
wakati
wa
matatizo,
change
upesi!
I
don't
wanna
be
so
lone
I
don't
wanna
walk
alone
I
don't
wanna
stand
alone
I
don't
wanna
be
alone,
in
the
world!
Sio
kila
siku
tunaongelea
mapenzi
Sio
kila
siku
tunaongelea
anasa
na
mambo
ya
kidunia
Sometimes.
Tukumbushane
kumuomba
yule
aliyetuwezesha
kuwa
hapa
duniani
Yule
aliyetuwezesha
kuusikia
na
kuuona
wimbo
huu
Mungu
ni
mmoja,
amini
hivyo
Ndio
kimbilio
la
mwisho
na
nguzo
yako
hapa
Na
baada
ya
kutoka
hapa
duniani
Mungu
wa
matajiri
ndio
Mungu
huyo
huyo
wa
masikini
Kwahiyo,
kila
mmoja
ana
azima
yake
kwake
Basi
tusimsahau,
tuwe
karibu
yake
Na
tumshukuru
kwa
kila
jambo
Kila
mmoja
ana
azima
yake
kwake
Basi
tusimsahau
Attention! Feel free to leave feedback.