AbduKiba - Mubashara Lyrics

Lyrics Mubashara - AbduKiba



Oooh ...oooh
Hisia kama mikuki zanichoma Ndo maana kila time nakuwaza wewe
Kwa mahaba nayopata Nahisi mpaka homa Sichoki me kukesha nawe
Love more... Love more... Love moree...
(Iyeee) Wapambe waache waongee usiku watalala
Na waambie wenye wivu maneno yasizidi mpaka
Mmmh mapenzi mubashara,
Mapenzi mubashara
Zidisha leo zaidi ya jana(zidisha leo zaidi ya jana)
Mapenzi mubashara,
Mapenzi mubashara Nikomeshe leo nisipate la kusema(la kusema aaah...)
Niroge kwa limbwata mpaka nipagawe Ila tu nisiokote makopo
Zidisha kipimo unachokiona wewe
Kwako me ni kama mtoto
Mama,
Toa jiko nje nipikee
Aaah nikimaliza vyombo nioshe
Tena sogeza kichwa nywele
Nikusukee(beiby) Na tukimaliza twende bafuni nkakuogeshee
Mmmh mapenzi mubashara,
Mapenzi mubashara Zidisha leo zaidi ya jana
(Zidisha leo zaidi ya jana)
Mapenzi mubashara,
Mapenzi mubashara
Nikomeshe leo nisipate la kusema
(Nikomeshe leo nisipate la kusemala kusema aaah...)
Aaah nipate la kusema... mimi iyeee
Nipate la kusema...
Beiby
Na mapenzi mubashara
Nipate la kusema...
Mapenzi mubashara
Eh eh
Nami nipate la kusema
Hashirsinger
Single Forever Classic



Writer(s): abdulkarim saleh kiba


AbduKiba - Mubashara
Album Mubashara
date of release
15-03-2019




Attention! Feel free to leave feedback.