Alikiba feat. Abdukiba, K2ga & Tommy Flavour - Ndombolo (feat. AbduKiba, K2ga & Tommy Flavour) Lyrics

Lyrics Ndombolo (feat. AbduKiba, K2ga & Tommy Flavour) - ALIKIBA , Tommy Flavour , AbduKiba , K2ga



Asa mambo bado, King's iko gado
Cheza utakavyo, Mashuti ka' Ronaldo
Wenye kulewa wapo kwa door, mziki upo kwa rohoo
Najionaga komando ukonga sa' ipo juu
Mi mnachezaje (ai ndombolo)
Inama inuka (ai ndombolo)
Usivunje mgogongo (ai ndombolo)
Ndo ndo (ai ndombolo)
Ndomboloo... (ai ndombolo)
Ndombolo ya solo (ai ndombolo)
Kwani we unachezaje (ai ndombolo)
Hii ngoma hamkai
Oh Mamaa, anachea ndombolo
Tena kainama, itatoka tomorrow
Domo zito mi' nabwabwaja (mi' nabwabwaja)
Mimi nabwabwaja (nabwabwaja)
Nabwabwaja (nabwabwaja)
Domo zito mi' nabwabwaja (mi' nabwabwaja)
Mimi nabwabwaja (nabwabwaja)
Mwenzenu mi nabwabwaja (nabwabwaja)
We unachezaje (ai ndombolo)
Inama inuka (ai ndombolo)
Usivunje mgogongo (ai ndombolo)
Ndo ndo (ai ndombolo)
Ndomboloo... (ai ndombolo)
Ndombolo ya solo
Kwani we unachezaje
Hii ngoma hamkai
Baby you my girl, oh baby youre girl
Baby nipe more 'shaonjeshwa nipe more
Wanirusha roho, umeshinda ume-win ee'
Ukinipa huchoki najiuliza we mtu ama mashinee
We unachezaje (ai ndombolo)
Inama inuka (ai ndombolo)
Usivunje mgogongo (ai ndombolo)
Ndo ndo (ai ndombolo)
Ndomboloo... (ai ndombolo)
Ndombolo ya solo
Kwani we unachezaje
Hii ngoma hamkai
Ee, Wivu nao umenikaa nashika love
Ukicheza na mwingine utanitoa roho
Kukutema sitaki taki
Wan'nogesha
Ahh sitaki taki
Wan'nogesha
Kukupenda kindaki ndaki
Wan'nogesha
Ohh kindaki ndaki
Basi cheza kimadodo
Ohh kimadoido
Bilinge cheza kimadoido
Ohh kimadoido
Basi cheza kimadoido
Ohh kimadoido
Basi ooh kimadoido
Ohh kimadoido
Cheza ahh
Inama inuka (ai ndombolo)
Usivunje mgongo (ai ndombolo)
Ndo ndo (ai ndombolo)
Ndomboloo... (ai ndombolo)
Ndombolo ya solo (ai ndombolo)
Kwani we unachezaje (ai ndombolo)
Domo zito mi' nabwabwaja (mi' nabwabwaja)
Mimi nabwabwaja (nabwabwaja)
Nabwabwaja (nabwabwaja)
Domo zito mi' nabwabwaja (mi' nabwabwaja)
Mimi nabwabwaja (nabwabwaja)
Mwenzenu mi nabwabwaja (nabwabwaja)
We unachezaje (ai ndombolo)




Alikiba feat. Abdukiba, K2ga & Tommy Flavour - Ndombolo (feat. AbduKiba, K2ga & Tommy Flavour) - Single



Attention! Feel free to leave feedback.