Amon & Upendo Kilahiro - Hakuna Suloweza Lyrics

Lyrics Hakuna Suloweza - Amon & Upendo Kilahiro




Tazama
Wewe ni bwana
Mungu wa wote wenye mwili
Je kuna neno gumu lolote
Usilo liweza.×2
Tazama wewe ni bwana
Mungu wa wote wenye mwili
Je kuna neno gumu lolote
Usilooliweza.
Jee kuna neno kuna neno kuna neeno
Usilo liweza
Jee kuna neno gumu lolote
Usilo liweza.



Writer(s): Amon, Upendo Kilahiro


Attention! Feel free to leave feedback.