Aslay - Ananikomoa Lyrics

Lyrics Ananikomoa - Aslay



Oooh yeah, oh yeeeah
Lalalila lila
Oooh yeah
Eh Mungu baba simamisha dunia nishuke
Kama na kufuru nimechoka mapenzi niache
Baba naganga mama naganga nahangaika kuzichanga
Sina kiwanja sina kitanda uongo huu
Mimi ni simba yeye ni
Yanga yanini vibweka na vimbwanga
Eeh Mungu baba ninakuomba nisaidie
Eh ahh mi mpaka nashanga
Au kachoka dagaa
Maana vibwekabweka vimezidi
Oh jipu tumbuka usaa
Shibe ishageuka njaa
Kila siku visa visa vinazidiii
Maji njoo maji njoo
Njoo ninawe mikono
Penzi laa sikitiko
Bora lifike ki-komo
Aaah ana nikomoa (ananikomoa)
Hadai risitii yee (ananikomoa)
Ohh baby
Ana ni komoa (ananikomoa)
Ooh nimechoka sitaki yeye (ananikomoa)
Ananidharau ananiacha hoi (hoi)
Anajisahau ananiona toi (toi)
Mwenzenu mateso daily ninapata shida
Kupenda napenda ila napoteza muda
(Muda muda aah eeeh aah eh)
Aah mi mpaka nashanga au kachoka dagaa
Mana vibweka bweka vimezidii
Ohh jipu tumbuka usaa
Shibe ishageuka njaa
Kila siku visa visa
Vinazidii
Maji njoo maji njoo
Njoo ninawe mikono penzi laa
Sikitiko bora lifike ki-komo aaah
Ana ni komoa (ananikomoa)
Hadai risitii yee (ananikomoa)
Ohh baby ana ni komoa (ananikomoa)
Ooh nimechoka sitaki yeye (ananikomoa)



Writer(s): Aslay


Aslay - Ananikomoa
Album Ananikomoa
date of release
17-10-2018




Attention! Feel free to leave feedback.