Aslay - Naenjoy Lyrics

Lyrics Naenjoy - Aslay



Mmm
Mmm
Waleooo
Mimi waleooo
Waleooo
Sio wa jana
Maisha ndo yale yale
Ahhh
Kuteswa ni kama funzo
Mmm
Mengine tuyasamehe
Oooh
Tusiweke viulizo
Kikubwa uhai nashukuru nnao sijakufa
Ila kuhusu mapenzi sitaki shobo nimeyakuta
Kukeshakesha mawazo mzongo
SItaki tena
Kupigana pigana naogopa chongo
Sitaki tena
Mlemavu wa kichwa ukanipa magongo
Sitaki tena
Kutwa kulialia kutapika nyongo
Mapenzi yana wenyewe
Si wengine tuache shobo tutazikwa wazima wazima
Boraaa nitulieee
Umri wangu me bado mdogo nisitake ya watu wazima, eh ehh
Naenjoyy (naenjoy mama)
Naenjoy (naenjoy sana)
Naenjoy japo kua sina kitu (naenjoy mama)
Ooooh naenjoy
Naenjoy sana
Nakukumbatia mto kuna raha yake asikwambie mtu, mtu yoyote
Ahh
Jamani shuka zina joto lake
Asikwambie mtu kitu chochote
Kugandana gandana
Kuzuga tunapendana
Mwisho twaanza kulizana
Sitakii
Binafsi sitaki nyama
Kupenda nimesimama
Moyo wangu umegoma
Hautaki ng′o
Kukeshakesha mawazo mzongo
Sitaki tena
Kupigapigana naogopa chongo
Sitaki tena
Mlemavu wakichwa ukanipa magongo
Sitaki tena
Kutwa kulialia kutapika nyongo
Mapenzi yana wenyewe
Si wengine tuache shobo tutazikwa wazimawazima
Boraaa
Nitulieee
Umri wangu bado mi mdogo nisitake ya watu wazima
Naenjoy (naenjoy mama)
Naenjoy (naenjoy sana)
Naenjoy japokua sina kitu (naenjoy mama)
Oooo naenjoy
Naenjoy sana



Writer(s): Aslay


Aslay - Naenjoy
Album Naenjoy
date of release
29-10-2019




Attention! Feel free to leave feedback.