Aslay - Natamba Lyrics

Lyrics Natamba - Aslay



Natamba, Natamba Aaa
Kilicho nishawishi upole wako, na heshima yako
Wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako
Sura yako ya upole, inanivutia
Shepu Twiga mwenda pole, najivunia
Oh tupeane mapenzi iwachome(Eeee)
Nakama namba waisome(Eeee)
Hata tukigombana wasione(Eeee)
Washike jembe wakalime(Eeee)
Mapenzi mazuri wakutane wawili wanaopendana
Usizidishe washauri, watasababisha tuje kugombana
Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu
Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto
Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael
Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko
We ndio wangu wa milele
Nauza dagaa, ili ninunue motorcar nikuridhishe
Unanipa furaha, na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe
Unanyota ya Adam na Hawa(Ohooo), Tunavyopendana
Hata wakituchukia ni sawa (Ohooo), Tuaminie Mama
Wanaona umenipa dawa (Ohooo), wanaongea sana
Chunga usije kuota mbawa (Ohooo), Ukaniachaga kilema
Katabiri pweza penzi litafika mbali, Nacheka kiingereza
Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali, Mh Jamani
Katabiri pweza penzi litafika mbali, Kwakweli hamtoweza
Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali
Basi baby nikumbatie mama
Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu
Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto
Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael
Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko
We ndio wangu wa milele, milelee



Writer(s): Aslay


Aslay - Natamba
Album Natamba
date of release
15-10-2017




Attention! Feel free to leave feedback.